Mashambulizi ya angani yawaua 60 Allepo
Wanaharakati wanasema kuwa zaidi ya watu 60 wameuawa na jeshi la Syria katika mashambulizi ya angani katika mkoa wa kaskazini wa Aleppo .
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili13 Jul
Mashambulizi mapya yawaua wapalestina 17
Maafisa wa Palestina wanasema kuwa takriban watu 17 waliuawa baada ya mashambulizi mapya ya Israel huko Gaza.
11 years ago
BBCSwahili30 May
Vita vya Syria vimeuwa maelfu Allepo
Wanaharakati wa Syria wasema mabomu yaliyorushwa na majeshi ya serikali dhidi ya waasi ya Allepo yamewaua zaidi ya watu 2000.
10 years ago
BBCSwahili20 Jul
Marekani yawaua wanajeshi wa Afghanistan
Askari 8 wa Afghanistan wamekufa katika shambulizi la anga la Marekani kwenye kituo cha kijeshi cha ukaguzi katika jimbo la Logar
9 years ago
BBCSwahili18 Nov
Ufaransa yawaua wapiganaji 33 Syria
Mashambulio ya Ufaransa na mataifa mengine dhidi ya ngome ya Islamic State huko Raqqa nchini Syria siku ya jumapili yamewauwa takriban wapiganaji 33
10 years ago
BBCSwahili19 May
Maparomoko yawaua watu 50 Colombia
Rais wa Colombia anasema kuwa utawala wa nchi hiyo haujui ni watu wangapi ambao hawajulikani waliko kufuatia maparomoko makubwa ya ardhi yaliowaua zaidi ya watu 50
10 years ago
BBCSwahili08 Mar
Milipuko yawaua watu 50 Nigeria
Zaidi ya watu 50 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa kwenye mashambulizi ya mabomu siku ya jumamosi kwenye mji wa Maiduguri
10 years ago
BBCSwahili11 Jun
Maporomoko yawaua watu 15 Nepal
Takriban watu 15 wamefariki huko Nepal baada ya maporomoko yaliosababishwa na mvua kubwa kuvizika vijiji sita huko kaskazini mashariki.
10 years ago
BBCSwahili04 Mar
Mafuriko yawaua watu 38 Tanzania
Mafuriko mabaya kazkazini magharibi mwa Tanzania yamewaua takriban watu 38.
9 years ago
BBCSwahili25 Oct
Majeshi ya Kenya yawaua Al Shaabab 15
Jeshi la Kenya limewauwa wapiganaji 15 wa Al shabaab katika makabiliano ya hivi punde zaidi Kusini mwa Somalia
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania