Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ufaransa yawaua wapiganaji 33 Syria

Mashambulio ya Ufaransa na mataifa mengine dhidi ya ngome ya Islamic State huko Raqqa nchini Syria siku ya jumapili yamewauwa takriban wapiganaji 33

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji waondolewa Syria

Wapiganaji wa makundi ya waasi Syria wameanza kuondolewa kutoka mji wa Zabadani karibu na mpaka wa Syria na Lebanon.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ajuza awatukana wapiganaji wa IS Syria

Zaidi ya watu millioni moja katika mtandao wa facebook wameiona video katika mtandao kuhusu ajuza wa Syria anayewakashifu IS

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji watekwa nyara, Syria

Baadhi ya askari kutoka katika kikosi cha polisi, kilichoundwa na wapiganaji wa Islamic State, wametekwa nyara.

 

11 years ago

BBCSwahili

Waandishi waachiliwa Syria na wapiganaji

Mwandishi wa habari na mpiga picha wanaofanya kazi na gazeti la Times wameachiliwa Syria.

 

11 years ago

BBCSwahili

Hoja ya wapiganaji wa kiisilamu Syria

Maafisa wa ujasusi kutoka nchi za Magharibi wamezuru Damascus kwa mazungumzo kuhusu kupambana na makundi ya wapiganaji wa kiisilamu

 

9 years ago

BBCSwahili

Ufaransa yashambulia IS Syria

Ufaransa imefanya mashambulizi ya angani dhidi ya wapiganaji wa kiislamu wa Islamic State nchini Syria.

 

9 years ago

GPL

UFARANSA YASHAMBULIA NGOME YA IS, SYRIA

Mabomu yakiripuka. Moja kati ya Ndege za Kivita za Ufaransa zilizoshambulia Raqqa, Syria. Eneo la Mji wa Raqqa lililoshambuliwa na Ufaransa. Raqqa, Syria NDEGE za Kijesahi za Ufaransa zimefanya shambulio zito kwenye Mji wa Raqqa nchini Syria kuwalenga wapiganaji wa ISIS usiku wa kaamkia leo.…

 

9 years ago

BBCSwahili

Ujerumani kuiunga mkono Ufaransa Syria

Baraza la mawaziri nchini Ujerumani limeidhinisha msaada kwa Ufaransa katika vita dhidi ya wanamgambo wa Islamic State

 

9 years ago

BBCSwahili

Ufaransa yalipua vituo zaidi vya IS Syria

Ndege za kivita za Ufaransa zimetekeleza mashambulio mapya na makali zaidi dhidi ya ngome ya Islamic State nchini Syria.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani