Masheikh: Dini hazifanyi ugaidi
WAKATI matukio ya uvunjifu wa amani yanayohusishwa na vitendo vya kigaidi yakizidi kushika kasi nchini, viongozi wa dini ya Kiislamu wameasa kuwa vitendo hivyo ni vya watu binafsi na kwamba visihusishwe na dini. Akitoa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLTAMKO LA KUDHALILISHWA KWA MASHEIKH WANAOTUHUMIWA KWA UGAIDI
10 years ago
GPL
MAUAJI YA POLISI 2 MKOA WA PWANI UGAIDI UGAIDI
10 years ago
Michuzi
VIONGOZI WA DINI WAKEMEA MAOVU YANAYOFANYWA KWA MGONGO WA DINI
Viongozi wa dini za kiislaam na kikristo wamesema dini ni za unyenyekevu na sio za kufanya maovu,ikitokea mtu mmoja katika imani anafanya maovu ni lazima akemewe ndani ya imani yake kwanza.
Wameyasema hayo leo katika kongamano la kujadili madhara ya misimamo mikali ya imani za kidini (Tafkiri) katika jamii na taifa lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa kufungua kongamano hilo Katibu wa Taasisi za...
10 years ago
Michuzi.jpg)
Mangula awataka viongozi wa dini wasiwapotoshe wananchi kuhusiana na kuwapo kwa masuala ya dini katika katiba pendekezwa
.jpg)
.jpg)
Na Furaha Eliab, Njombe
MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Philip Mangula amesema kuwa viongozi...
10 years ago
Michuzi
WAZIRI MEMBE ATOA RAI KWA VIONGOZI WA DINI ZOTE NA SERIKALI KUHIMIZA VIJANA WAIPENDE DINI KUDUMISHA AMANI,UTULIVU NA UADILIFU NCHINI


10 years ago
GPLWAZIRI MEMBE ATOA RAI KWA VIONGOZI WA DINI ZOTE KUHIMIZA VIJANA WAIPENDE DINI ILI KUDUMISHA AMANI, UTULIVU NA UADILIFU
10 years ago
Dewji Blog08 Apr
Membe atoa rai kwa viongozi wa dini zote pamoja serikali kuhimiza vijana waipende dini ili kudumisha amani, utulivu na uadilifu
10 years ago
VijimamboWAZIRI MHE. BERNARD MEMBE ATOA RAI KWA VIONGOZI WA DINI ZOTE PAMOJA SERIKALI KUHIMIZA VIJANA WAIPENDE DINI ILI KUDUMISHA AMANI, UTULIVU NA UADILIFU
Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama akiwapungia watu waliohudhuria katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka, lililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es...
11 years ago
Mtanzania06 Oct
Masheikh walia na Katiba Mpya

Waumini wa Kiislamu wakiswali
Na Waandishi Wetu, Dar na mikoani
SUALA la Mahakama ya Kadhi ambalo wiki chache zilizopita lilileta mgogoro ndani ya Bunge Maalumu la Katiba hadi kufikia Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kulitolea ufafanuzi, limeibuka tena katika swala ya Eid El-Hajj nchini.
Hatua hiyo imewafanya masheikh mbalimbali nchini kusema katu hawako tayari kuitambua Rasimu ya Katiba inayopendekezwa hadi pale suala la Mahakama ya Kadhi litakapotambuliwa.
Wamesema kitendo cha Bunge Maalumu la...