Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Masheikh walia na Katiba Mpya

Waumini wa Kiislamu wakiswali

Waumini wa Kiislamu wakiswali

Na Waandishi Wetu, Dar na mikoani

SUALA la Mahakama ya Kadhi ambalo wiki chache zilizopita lilileta mgogoro ndani ya Bunge Maalumu la Katiba hadi kufikia Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kulitolea ufafanuzi, limeibuka tena katika swala ya Eid El-Hajj nchini.

Hatua hiyo imewafanya masheikh mbalimbali nchini kusema katu hawako tayari kuitambua Rasimu ya Katiba inayopendekezwa hadi pale suala la Mahakama ya Kadhi litakapotambuliwa.

Wamesema kitendo cha Bunge Maalumu la...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTAZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jana Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa jukwaa la katiba juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo.
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.…
...

 

11 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTIZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA


Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa JUKWAA LA KATIBA juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo. Picha na Cathert Kajuna wa Kajunason Blog
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
Wajumbe wa JUKWAA LA KATIBA...

 

10 years ago

Mwananchi

KATIBA MPYA: Wingu linavyogubika hatima Mchakato wa Katiba Mpya

>Bado hakuna mwafaka kuhusu hatima ya Katiba Mpya, baada ya kuahirishwa kwa upigaji Kura ya Maoni iliyopaswa ifanyike Aprili 30 mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

CUF walia na kasoro Mchakato wa Katiba

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema busara inahitajika kuiepusha nchi kuingia katika mgogoro wa kisiasa kutokana na hali halisi iliyojitokeza katika suala la kutafuta Katiba Mpya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Viziwi walia kubaguliwa Bunge Maalumu la Katiba

CHAMA cha Viziwi Tanzania (CHAVITA), kesho kitafanya maandamano kwa ajili ya kupinga uteuzi wa Bunge maalumu la Katiba uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete, baada ya kushindwa kuteua mwakilishi kutoka katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Upinzani walia na Sh21 bilioni za Bunge la Katiba

Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni imelia na matumizi mabaya ya Sh21 bilioni zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya wajumbe waliosusa Bunge Maalumu la Katiba.

 

11 years ago

Habarileo

ALAT walia kuachwa uteuzi Bunge la Katiba

JUMUIYA ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), imedai haikutendewa haki kwa kutoshirikishwa na kupewa nafasi ya uwakilishi katika Bunge Maalumu la Katiba. Madai hayo yametolewa wakati ambapo tayari Bunge hilo limeanza rasmi mkutano wake mjini Dodoma.

 

10 years ago

Mwananchi

MCHAKATO WA KATIBA MPYA: Katiba Mpya ilivyoligawa Taifa

>Wahenga walisema dalili ya mvua ni mawingi. Usemi huo umejidhihirisha kwenye mchakato wa mabadiliko ya Katiba ambao tayari umeonyesha kuligawa taifa katika makundi matatu; Serikali, taasisi za dini na vyama vya siasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani