Mashemeji acheni ukora
Mkora ni ‘mtu mwenye tabia ya kihuni, mhuni, pia jambazi’ na kwa lugha ya mjini anaitwa ‘chalii’ ama tapeli. Ukora nitakaouzungumzia hapa haswa ni ule unaohusisha mambo ya mapenzi, au unaochangia sababu kadhaa kuvunja, hata kuvuruga uhusiano wa kimapenzi kati ya watu wawili.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
CCM acheni kupiga mayowe, acheni wananchi waamue
MAPENDEKEZO ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na Jaji Joseph Warioba, yanaonekana kuwatia kiwewe baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo visiwani Zanzibar. Ukizisikiliza kauli zao juu...
10 years ago
Mwananchi20 Sep
Ukaribu uliopitiliza kwa mashemeji wa jinsi tofauti unaashiria nini?
5 years ago
Goal.Com03 Mar
Mashemeji Derby: History will not count between AFC Leopards & Gor Mahia – Polack
10 years ago
Habarileo06 Sep
Magufuli: Acheni wivu
WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli amewataka wahandisi kuacha kuoneana wivu na kupeana kazi ili kudumisha uzalendo katika ujenzi wa miradi mbalimbali hususan ya barabara.
10 years ago
Habarileo20 Sep
'Chadema acheni vurugu'
MBUNGE wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (CUF) amewataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutobweteka kwa kupata majimbo mengi badala yake wakue kifikra kwa kuachana na vurugu.
10 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Dk. Slaa: Acheni kulalamika
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amewataka Watanzania kuacha kulalamika baadala yake wachukue maamuzi magumu ya kutokichagua Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambacho kimebobea kwa...
11 years ago
Tanzania Daima15 Jun
Filikunjombe: Acheni kulalamika
MBUNGE wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM), amewataka wananchi na viongozi kuacha kulalamika na badala yake wachukue hatua sahihi kwa kila mmoja kuwajibika kwa nafasi yake. Filikunjombe alitoa rai hiyo jana...
10 years ago
Habarileo16 Aug
'Mahakimu acheni ubabe'
JAJI Kiongozi, Shaaban Lila amewataka mahakimu nchini kuacha kutumia ubabe na lugha za ukali wakati wanasikiliza na kutoa uamuzi katika mashauri mbalimbali mahakamani.
11 years ago
Habarileo20 Jun
'Acheni kulipua matumbawe'
WIZARA ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi imekemea ulipuaji wa mabomu katika matumbawe yaliyoko baharini kwani kwa kufanya hivyo kunaharibu uhifadhi wa samaki pamoja na kuharibu mazingira.