Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashindano ya makalio yafanyika Marekani

Shindano la kumtafuta mwanamke mwenye makalio makubwa mjini New York Marekani linatumiwa kama kigezo cha upasuaji wa mapambo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAKALIO YAMPAISHA MASOGANGE MAREKANI

Na Hamida Hassan/Ijumaa
Staa  aliyejipatia umaarufu mkubwa kutokana na makalio yake, Agnes Gerald ‘Masogange’ sasa amepaa kimataifa zaidi na kuwa  gumzo hadi Marekani baada ya hivi karibuni mtandao mmoja wa watu maarufu nchini humo kumpa shavu. Staa  aliyejipatia umaarufu mkubwa kutokana na makalio yake, Agnes Gerald ‘Masogange’. Masogange aliripotiwa na mtandao wa Media Take Out na...

 

11 years ago

GPL

MASHINDANO YA RIADHA YA TAIFA YAFANYIKA DAR

  Juma Shabbani toka Tabora aliyeshinda nafasi ya tatu katika mbio za mita 200 na 400. Mmoja wa wanariadha akifanya mazoezi katika Uwanja wa Taifa Dar.   Walemavu wakijianda…

 

11 years ago

Michuzi

Mashindano ya Mchezo wa Gofu yafanyika jijini Dar

WACHEZAJI 14 kati ya 52 wa mchezo wa gofu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambao mwishoni mwa wiki walishiriki mashindano ya mchezo huo yaliyojulikana kama 'Siku ya Gofu', waliibuka kidedea baada ya kufanya vizuri katika mashindano hayo yaliyodhaminiwa na BancABC.
Mashindano hayo ambayo yalidhaminiwa na BancABC, yalifanyikia kwenye viwanja wa TPDF Lugalo jijini Dar es Salaam. Wachezaji hao ambao walizawadiwa vifaa mbalimbali vya kuchezea mchezo huo ni Peter Fiwa, Moses Namuhisa, Shaban Kibuna,...

 

10 years ago

Michuzi

mashindano ya biblia yafanyika uwanja wa kaitaba leo mjini Bukoba

Mkuu wa Jeshi la Polisi mkoa wa Kagera (RPC) Henry Mwaibambe nae alipata picha ya pamoja na wasanii hao.Msanii wa muziki wa Injili, Bonny Mwaitege(kulia) akisalimiana Mtangazaji wa Radio Kasibante Mwl. Joyce Ruboz punde leo hii wakati wa kipindi cha Gospal flava cha Kasibante fm 88.5, Rose Muhando, Bonny Mwaitege na Gaston Sapula wanatarajia kupamba fainali za Mashindano ya Biblia leo hii kwenye Uwanja wa Kaitaba Bukoba mjini kuanzia saa 8 Mchana. Shindano hili lililokuwa likiendelea...

 

5 years ago

BBCSwahili

George Floyd: Maandamano makubwa ya kupinga ubaguzi yafanyika Marekani

Maandamano makubwa ya amani yamefanyika kote nchini Marekani kupinga ubaguzi wa rangi na unyanyasaji unaotekelezwa na maafisa wa polisi ikiwa ni siku ya 12 ya maandamano

 

5 years ago

CCM Blog

MAANDAMANO YA KULAANI UKATILI WA POLISI YA MAREKANI YAFANYIKA KENYA NA NIGERIA

Maandamano ya kulaani ukatili wa polisi ya Marekani yafanyika Kenya, NigeriaMiji mikuu ya Kenya na Nigeria jana ilishuhudia maandamano ya kulaani ubaguzi wa rangi na mauaji ya George Floyd, raia wa Marekani mwenye asili ya Afrika aliyeuliwa kikatili na polisi mmoja mzungu katika mji wa Minneapolis, katika jimbo la Minnesota nchini Marekani wiki iliyopita.Katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi waandamanaji walikusanyika nje ya ubalozi wa Marekani jijini hapo huku wakiwa wamebeba mabango yenye jumbe mbalimbali za kulaani jinai hiyo. Baadhi ya mabango hayo yalikuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

SOUTHERN AFRICA BAZAAR YAFANYIKA SILVER SPRING, MARYLAND MAREKANI

 Mdau kutoka Uganda akiwa kwenye maonesho yaliyobeba jina la  Southern Bazaar yaliyofanyika siku ya Jumamosi Novemba 8, 2014 Silver Spring, Maryland nchini Marekani nchi nyingi kutoka kusini mwa Afrika zilishiriki ikiwemo Tanzania. Mdau mwakilishi kutoka Lesotho akiwakilisha nchini yake kwenye maonesho hayo ya Southern Bazaar yaliyofanyika siku ya Jumamosi Novemba 8, 2014 Silver Spring, Maryland nchini Marekani. Wawakilishi wengine kutoka nchi kusini mwa Afrika wakiwa kwenye maonesho ya...

 

10 years ago

Michuzi

SEMINA YA FURSA YA UWEKEZAJI "DOING BUSINESS IN TANZANIA" YAFANYIKA LANDOVER, MARYLAND NCHINI MAREKANI

Kushoto ni Dkt. Frank Forka ambaye ni mkurugenzi PGCEDC Africa Trade Office akielezea njia za kufuata kwa mwekezaji kutoka Tanzania anapokuja kutafuta au kufanya mazungumuzo na wawekezaji wa Kimarekani kwa ajili ya kuingia nao ubia kwa ajili ya kuwekeza Tanzania. Dkt. Frank Furka alisema jambo la kwanza muhimu ni kujifunza utamaduni wa wafanyabishara wa Kimarekani hasa inapokuja kwenye swala la muda, Mambo mengine ya kuzingatia ni ufafanuzi wa kina na uwazi wa fulsa unayoitafutia mwekezaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani