Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashindano ya Mchezo wa Gofu yafanyika jijini Dar

WACHEZAJI 14 kati ya 52 wa mchezo wa gofu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambao mwishoni mwa wiki walishiriki mashindano ya mchezo huo yaliyojulikana kama 'Siku ya Gofu', waliibuka kidedea baada ya kufanya vizuri katika mashindano hayo yaliyodhaminiwa na BancABC.
Mashindano hayo ambayo yalidhaminiwa na BancABC, yalifanyikia kwenye viwanja wa TPDF Lugalo jijini Dar es Salaam. Wachezaji hao ambao walizawadiwa vifaa mbalimbali vya kuchezea mchezo huo ni Peter Fiwa, Moses Namuhisa, Shaban Kibuna,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA GOFU YA TANAPA LUGALO OPEN KUFANYIKA MACHI 14 NA 15 JIJINI DAR ES SALAAM.

Na Luteni Selemani Semunyu

Mwenyekiti wa Klabu ya Gofu ya Lugalo Brigedia Jenerali Mstaafu Michael Luwongo ametangaza mashindano ya Tanapa Lugalo Open yanatarajiwa kufanyika Machi 14 na 15 Mwaka huu katika Viwanja vya Lugalo Jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na Mwandishi wa hbari hizi Mwenyekiti huyo alisema masindano hayo yalikuwa yafanyike February 29 na Machi Mosi lakini kutokana na baadhi ya Maandalizi kutokamilika imelazimu sasa kusogeza mbele.

“ Tumesogeza mbele ili kutoa fursa ya...

 

11 years ago

Michuzi

Mashindano ya Mchezo wa Safari Lager National Pool Championship 2014 yazinduliwa leo jijini Dar

MASHINDANO ya mchezo wa pool ya ‘Safari Lager National Pool Championship 2014’, ngazi ya mikoa yanatarajia kuanza Juni 14, mwaka huu katika mikoa 18 ya Tanzania Bara.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam leo, Katibu Mkuu wa Chama cha Mchezo huo Taifa (TAPA), Amosi Kafwinga amesema mashindano hayo ambayo kwa ngazi ya taifa yatamalizika mwezi Septemba 14, mwaka huu.
Kafwinga amesema fainali za taifa za mashindano hayo yanayodhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania(TBL)...

 

11 years ago

GPL

MASHINDANO YA RIADHA YA TAIFA YAFANYIKA DAR

  Juma Shabbani toka Tabora aliyeshinda nafasi ya tatu katika mbio za mita 200 na 400. Mmoja wa wanariadha akifanya mazoezi katika Uwanja wa Taifa Dar.   Walemavu wakijianda…

 

9 years ago

BBCSwahili

Mchezo wa gofu kuponza wafuasi wa chama tawala Uchina

Chama tawala nchini Uchina kimewapiga marufuku wanachama wake wote kujiunga na klabu za mchezo wa gofu.

 

5 years ago

Michuzi

MAANDALIZI MASHINDANO YA GOFU LUGALO OPEN YAPAMBA MOTO



Na Luteni Selemani Semunyu

Maandalizi ya Mashindano ya TANAPA Lugalo Open yanaendelea vyema huku vilabu vyote Tanznaia vikithibitisha kushiriki katika mashindano hayo yanayotarajiwa kufanyika Ijumaa hadi Jumapili katika Klabu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchji wa Tanzania Jijini Dar es salaam.

Akizungumzia Maandaalizi hayo Nahodha wa Lugalo Kapteni Japhet Masai alisema Vilabu vilivyothibitisha ni Dar es Salaam Gymkana, Arusha Gymkhana, Morogoro Gymkhana, TPC Moshi, Kili Golf , Sea Criff ya...

 

5 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AFUNGA MASHINDANO YA GOFU KUENZI WANAWAKE LUGALO

Na Luteni  Selemani Semunyu

Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete amewataka wanawake nchi kusimama imara katika kujiendeleza katika nyanja mbali mbali ikiwemo michezo na kuliletea Taifa heshima bila kujali tofauti za jinsi walizonazo.

Aliyasema hayo wakati akifunga Mashindano ya kuadhimisha siku ya mwanamke duniani kwa mchezo wa Gofu katika yaliyofanyika Jana katika Uwanja wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo Jijini Dar es Salaam.

Mama Salama alisema  licha ya michezo mingi...

 

11 years ago

GPL

PROMOSHENI YA GAZETI LA UWAZI JIJINI DAR YAFANYIKA LEO

Wasomaji wa gazeti la Uwazi wakinunua gazeti hilo kwenye gari la matangazo. Mhariri…

 

10 years ago

Michuzi

Mashindano ya gofu NIC Corporate Lugalo Challenge 2015 kufanyika kesho viwanja vya TPDF

4Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Shirika la Bima la Taifa NIC Bi. Mwanaidi Shemweta akikabidhi zawadi kwa Japhet Masai Kapteni wa mchezo wa Gofu katika viwanja vya gofu vya TPDF Lugalo tayari kwa mashindano ya NIC Corporate Lugalo Challenge 2015 yanayofanyika kesho February 28 kuanzaia saa 7:00 asubuhi kwenye viwanja hivyo yakishirikisha wachezaji mbalimbali kutoka ndani na nje ya Tanzania.Mpaka sasa wachezaji 60 wameshathibitisha kushiriki katika mashindano hayo na wachezaji wengine...

 

9 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA TAKWIMU AFRIKA YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

Mgeni Rasmi, Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Prof. Adolf Mkenda akihutubia wadau mbalimbali wa takwimu katika maaadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yaliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam ambayo yameongozwa na kauli mbiu ya "Takwimu Bora kwa Maisha Bora".Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa akitoa maelezo ya utangulizi katika katika maaadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yaliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam ambayo yameongozwa na kauli mbiu ya "Takwimu Bora kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani