Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashindano ya mashua ya Mercedes Benz Cup 2014 yafana jijini Dar

mashua

Moja ya mashua ikisukumwa kurejeshwa katika eneo lake la hifadhi baada ya kumaliza mashindano hayo.

Na Mwandishi wetu

MICHUANO ya siku 2 mwaka ya waendesha mashua za kisasa kuwania kombe la Mercedes Benz kwa mwaka huu imemalizika juzi jioni kwa waendesha mashua Al Bush akisaidia na  Pugwash wakitwaa ushindi wa jumla na kutwaa kombe la Mercedes Benz.

Waendesha mashua hao yenye jina la Strophic aina ya Hobie Tiger ikiwa na namba 2653 wakikabidhiwa kombe hilo na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Mbio za mashua za Mercedes Benz Cup 2015 zafana

DSC_0159

Mashua zenye tanga zinazojaza upepo zikichanja mbuga katika mawimbi makali kwenye bahari ya hindi kwenye fukwe za Yatch Club wakati wa mashindano ya mbio za Mashua za Mercedes Benz Cup 2015 yaliyodhaminiwa na kampuni ya CFAO Motors kwa miaka 9 sasa, yaliyomalizika mwishoni mwa juma jijini Dar es Salaam.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog).

Na Mwandishi wetu

KLABU ya Yatch ya Dar es salaam iliyopo Msasani jijini Dar es salaam inatafuta fedha kuwezesha washiriki wake wanne katika mbio za...

 

9 years ago

GPL

MBIO ZA MASHUA ZA MERCEDES BENZ CUP 2015 ZAFANA‏

Mashua zenye tanga zinazojaza upepo zikichanja mbuga katika mawimbi makali kwenye bahari ya hindi kwenye fukwe za Yatch Club wakati wa mashindano ya mbio za Mashua za Mercedes Benz Cup 2015 yaliyodhaminiwa na kampuni ya CFAO Motors kwa miaka 9 sasa, yaliyomalizika mwishoni mwa juma jijini Dar es Salaam. Washiriki wakipambana na mawimbi wakati wa mashindano ya mbio za mashua za Mercedes Benz Cup 2015 yaliyomalizika mwishoni...

 

11 years ago

GPL

WAKUU WA MERCEDES BENZ KUTOKA UJERUMANI NA WAWAKILISHI WA MERCEDES BENZ AFRIKA WATEMBELEA TANZANIA‏

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya CFAO Motors, Bw.Wayne Mcintosh, akizungumza na Wakuu wa Mercedes Benz kutoka Ujerumani na Wawakilishi wa Mercedes Benz Afrika katika mpango mkakati wa kubadilishana nao mawazo na uzoefu katika shughuli za biashara na masoko katika ukanda wa Afrika. Wakuu wa Mercedes Benz kutoka Ujerumani na Wawakilishi wa Mercedes Benz Afrika pia walipata fursa ya kuangali akarakana ya kampuni hiyo kwenye...

 

11 years ago

GPL

CFAO MOTORS WAZINDUA TOLEO JIPYA LA MERCEDES BENZ JIJINI DAR‏

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya CFAO Motors, Bw.Wayne McIntosh akiteta jambo na baadhi ya wageni waalikwa kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa toleo jipya la gari aina ya Mercedes Benz E-Class uliofanyika jijini Dar kwenye hoteli ya Capetown Fish Market. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya CFAO Motors, Bw.Wayne McIntosh (wa pili kulia) na Meneja Masoko wa CFAO Motors, Bi. Tharaia Ahmed (wa pili kushoto) wakibadilishana mawazo na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mashindano ya mbio za Mbuzi “Blue Smilerace” kwa udhamini wa Tigo yafana jijini Dar

DSC_0475

Mbuzi wakishindana kwenye mbio za Mbuzi zilizopewa jina la “blue smilerace” zilizodhaminiwa na kampuni ya mawasiliano ya simu za mikononi Tigo.

DSC_0822

Mkurugenzi wa kampuni ya ya mawasiliano ya simu za mikononi ya Tigo Bw. Diego Gutierrez akimkabidhi cheti cha mchango wa hisani kwa  Meneja wa Mawasiliano wa CCBRT Bi.Alexandra Cairns kwenye mashindano ya mbio za mbuzi yaliyofana mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.

DSC_0833

Mkurugenzi wa kampuni ya mawasiliano simu za mikononi ya Tigo Bw. Diego...

 

10 years ago

Dewji Blog

CFAO MOTORS waifikisha kwa mara ya kwanza Mercedes Benz GCL Class jijini Arusha

Mkurugenzi wa kampuni ya kuagiza, kuuza na kutengeneza magari ya Arusha Arts,  Gunvant Sachev (kushoto) akipokea tuzo ya uwakala bora katika kuuza vipuri na magari aina ya Mercedes Benz kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya CFAO Motors, Wayne McIntosh (wapili kushoto) wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa gari aina ya Mercedes Benz GCL Class jijini Arusha ikiwa ni mara ya kwanza gari hiyo kuingizwa jijini Arusha.

new-mercedes-benz-gl-class-wallpaper-1_640x480

 

 

10 years ago

Michuzi

SHERIA NGOWI AFUNIKA KATIKA MAONYESHO YA MAVAZI YA 'MERCEDES BENZ FASHION WEEK AFRICA 2014' NCHINI AFRIKA KUSINI

Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014016Mbunifu wa kimataifa wa mavazi kutoka Tanzania, Sheria Ngowi amedhihirisha kuwa yeye ni nguli katika ubunifu baada ya kufunika katika onyesho la mavazi la kimataifa lijulikanalo kama Mercedes Benz Fashion Week Africa 2014 lililofanyika mwishoni mwa wiki mjini Johannesburg, Afrika Kusini.
Ngowi alionyesha mkusanyiko wa mavazi aliyoyaita 'PRIDE' yaani kujivunia, kama moja ya njia za kumuenzi Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere pamoja na viongozi mashuhuri waliopigania uhuru Afrika.
Afrika Kusini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani