Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBIO ZA MASHUA ZA MERCEDES BENZ CUP 2015 ZAFANA‏

Mashua zenye tanga zinazojaza upepo zikichanja mbuga katika mawimbi makali kwenye bahari ya hindi kwenye fukwe za Yatch Club wakati wa mashindano ya mbio za Mashua za Mercedes Benz Cup 2015 yaliyodhaminiwa na kampuni ya CFAO Motors kwa miaka 9 sasa, yaliyomalizika mwishoni mwa juma jijini Dar es Salaam. Washiriki wakipambana na mawimbi wakati wa mashindano ya mbio za mashua za Mercedes Benz Cup 2015 yaliyomalizika mwishoni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Mbio za mashua za Mercedes Benz Cup 2015 zafana

DSC_0159

Mashua zenye tanga zinazojaza upepo zikichanja mbuga katika mawimbi makali kwenye bahari ya hindi kwenye fukwe za Yatch Club wakati wa mashindano ya mbio za Mashua za Mercedes Benz Cup 2015 yaliyodhaminiwa na kampuni ya CFAO Motors kwa miaka 9 sasa, yaliyomalizika mwishoni mwa juma jijini Dar es Salaam.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog).

Na Mwandishi wetu

KLABU ya Yatch ya Dar es salaam iliyopo Msasani jijini Dar es salaam inatafuta fedha kuwezesha washiriki wake wanne katika mbio za...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mashindano ya mashua ya Mercedes Benz Cup 2014 yafana jijini Dar

mashua

Moja ya mashua ikisukumwa kurejeshwa katika eneo lake la hifadhi baada ya kumaliza mashindano hayo.

Na Mwandishi wetu

MICHUANO ya siku 2 mwaka ya waendesha mashua za kisasa kuwania kombe la Mercedes Benz kwa mwaka huu imemalizika juzi jioni kwa waendesha mashua Al Bush akisaidia na  Pugwash wakitwaa ushindi wa jumla na kutwaa kombe la Mercedes Benz.

Waendesha mashua hao yenye jina la Strophic aina ya Hobie Tiger ikiwa na namba 2653 wakikabidhiwa kombe hilo na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni...

 

11 years ago

GPL

WAKUU WA MERCEDES BENZ KUTOKA UJERUMANI NA WAWAKILISHI WA MERCEDES BENZ AFRIKA WATEMBELEA TANZANIA‏

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya CFAO Motors, Bw.Wayne Mcintosh, akizungumza na Wakuu wa Mercedes Benz kutoka Ujerumani na Wawakilishi wa Mercedes Benz Afrika katika mpango mkakati wa kubadilishana nao mawazo na uzoefu katika shughuli za biashara na masoko katika ukanda wa Afrika. Wakuu wa Mercedes Benz kutoka Ujerumani na Wawakilishi wa Mercedes Benz Afrika pia walipata fursa ya kuangali akarakana ya kampuni hiyo kwenye...

 

11 years ago

GPL

CFAO MOTORS WAZINDUA TOLEO JIPYA LA MERCEDES BENZ JIJINI DAR‏

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya CFAO Motors, Bw.Wayne McIntosh akiteta jambo na baadhi ya wageni waalikwa kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa toleo jipya la gari aina ya Mercedes Benz E-Class uliofanyika jijini Dar kwenye hoteli ya Capetown Fish Market. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya CFAO Motors, Bw.Wayne McIntosh (wa pili kulia) na Meneja Masoko wa CFAO Motors, Bi. Tharaia Ahmed (wa pili kushoto) wakibadilishana mawazo na...

 

11 years ago

GPL

CFAO YAANZISHA HUDUMA MPYA KWA WAMILIKI WA MALORI YA MERCEDES BENZ NCHINI‏

Msimamizi wa ufundi wa Magari aina ya Mercedes Benz kutoka kampuni ya CFAO Motors Bw. Winner Mushi (wa tatu kushoto) akionyesha matumizi ya kifaa maalum cha ukaguzi wa Malori ya Mercedes Benz (Star Diagnosis Machine) kwa baadhi ya mafundi na wasimamizi wa ufundi wa magari ya kampuni ya Bakhresa Group. Muuzaji wa vipuli vya magari ya Mercedes Benz nchini kutoka kampuni ya CFAO Motors, Emmanuel Sembua akimfafanulia jambo Meneja...

 

11 years ago

Michuzi

Mercedes Benz C200 for sale

 Mercedes Benz C200 for sale. Model GF-202020. Year of manufacture is 1999, imported from Japan in 2010. Silver colour, saloon (closed top), petrol, engine capacity is 1990 cc. Serious prospective buyers call  0754 269 269 for more details.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani