Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASHINDANO YA NGOMA ZA ASILI KWENYE TAMASHA LA MAJIMAJI SELEBUKA 2015

Kikundi cha Jakaya Sanaa kilichoibuka bingwa wa shindano la Ngoma za Asili kwenye Tamasha la Majimaji Selebuka 2015 yanayoendelea kwenye Uwanja wa Makumbusho ya Mashujaa ya Vita vya Majimaji, Songea. Kikundi cha Ngoma cha Lihanje-Ngoma ya Mganda wakifanya yao katika Shindano la Ngoma za Asili kwenye tamasha la Majimaji Selebuka 2015. Jaji Mkuu…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MUENDELEZO WA MATUKIO KATIKA TAMASHA LA MAJIMAJI SELEBUKA

Mabingwa wa mbio za wanawake katika Tamasha la Majimaji Selebuka. Kutoka kulia ni bingwa wa mbio za kilometa tano za wanawake, Neema Ndambo, Mwanaharabu Pili aliyeshika nafasi ya pili na mshindi wa tatu, Shakira Abdallah. Mama na mwana….Bibie Abdallah kushoto akiwa katika pozi na mwanaye, Shakira Abdallah, wote walishiriki katika mbio za wanawake za Km 5, katika Tamasha la Majimaji Selebuka. Mama ameshika nafasi ya tano, mwana...

 

11 years ago

Michuzi

BALIMI EXTRA LAGER KUDHAMINI MASHINDANO YA NGOMA ZA ASILI 2014

Meneja wa Bia ya Balimi Extra Lager(kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu udhamini wa mashindano ya ngoma yajulikanayo kama “Balimi Ngoma Festival 2014” TBL Dar es Salaam.Kushoto ni Meneja matukio wa Taifa TBL, George Mombeki. Meneja matukio wa Taifa TBL, George Mombeki(kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu udhamini wa mashindano ya ngoma yajulikanayo kama “Balimi Ngoma Festival 2014” TBL Dar es Salaam.

 

10 years ago

Dewji Blog

Ngoma ya asili ya Zanzibar yawa kivutio Oman

DSCN4411

Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Bi Hindi Hamadi Khamis katikati akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Zanzibar wa Abeid Karume akisubiri kuwasili kwa Wajasiriamali, Wasanii na Waandishi wa Habari waliokuwa nchini Oman kwa ajili ya maonyesho ya Tamasha la Utamaduni yaliyofanyika nchini humo. (Picha na Miza Othman Maelezo, Zanzibar).

                              Na Ali Issa Maelezo-Zanzibar                               

Wasanii na Wajasiriamali kutoka Zanzibar...

 

11 years ago

GPL

KUTOKWA NA MAJIMAJI KWENYE MATITI (GALACTORRHEA)

Tatizo hili husimama lenyewe kama ugonjwa ingawa pia inaweza kuwa ni dalili kama mwanamke ni mjamzito, ananyonyesha au ametoa mimba au ameharibikiwa na mimba.Kusimama kwake kama ugonjwa ni pale  yanapotoka wakati mwanamke hana historia ya dalili hizo hapo juu. Tatizo hili huwapata wanawake wengi na kwa mujibu wa takwimu huathiri asilimia tano hadi 32 ya wanawake walio katika umri wa kuzaa.Pamoja na kuwapata zaidi wanawake,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Papa Wemba awasili Dar, aelekea Bagamoyo kwenye Tamasha la Karibu Music Festival 2015

Mwanamuziki Papa Wemba (kulia) akisalimiana na mwenyeji wake waandaaji wa Tamasha la Karibu Music Festival 2015 mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja wake anayeratibu safari hiyo, Chebli Msaidie akimtambulisha kwa wenyeji wao. Mwanamuziki Papa Wemba akiwa katika picha ya pamoja na wasanii alioambatana nao waliomo katika bandi yake mara baada ya kutua Tanzania tayari kufanya mashambulizi katika Tamasha la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

SALUMU LUKOSI ‘KIDALI’: Msanii wa ngoma za asili anayesaka soko Bongo Fleva

MOJA ya ndoto ya wasanii wengi nchini ni kufikia malengo ya kuwa na maisha bora kama ilivyo kwa wasanii wengine waliopata  kupitia huko. Pia ieleweke kwamba, sanaa imekuwa kitovu cha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vyakula vya asili kunogesha Tamasha la Handeni Kwetu

BAADHI ya vyakula vya asili ya Handeni, vinatarajiwa kuwapo katika Tamasha la Utamaduni la Handeni Kwetu 2013 linalotarajiwa kufanyika Jumamosi kwenye viwanja vya Azimio, wilayani Handeni, mkoani Tanga. Akizungumza mjini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani