Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUTOKWA NA MAJIMAJI KWENYE MATITI (GALACTORRHEA)

Tatizo hili husimama lenyewe kama ugonjwa ingawa pia inaweza kuwa ni dalili kama mwanamke ni mjamzito, ananyonyesha au ametoa mimba au ameharibikiwa na mimba.Kusimama kwake kama ugonjwa ni pale  yanapotoka wakati mwanamke hana historia ya dalili hizo hapo juu. Tatizo hili huwapata wanawake wengi na kwa mujibu wa takwimu huathiri asilimia tano hadi 32 ya wanawake walio katika umri wa kuzaa.Pamoja na kuwapata zaidi wanawake,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MASHINDANO YA NGOMA ZA ASILI KWENYE TAMASHA LA MAJIMAJI SELEBUKA 2015

Kikundi cha Jakaya Sanaa kilichoibuka bingwa wa shindano la Ngoma za Asili kwenye Tamasha la Majimaji Selebuka 2015 yanayoendelea kwenye Uwanja wa Makumbusho ya Mashujaa ya Vita vya Majimaji, Songea. Kikundi cha Ngoma cha Lihanje-Ngoma ya Mganda wakifanya yao katika Shindano la Ngoma za Asili kwenye tamasha la Majimaji Selebuka 2015. Jaji Mkuu…

 

10 years ago

Africanjam.Com

NAMNA YA KUZUIA KUTOKWA NA MACHOZI WAKATI WA KUKATA VITUNGUU


Ni kitu kilichowazi kwa kila mtu hususani wale wanaojihusisha na swala zima la mapishi kuhusu kutokwa na machozi wakati wa kukata kitunguu. Wataalam wa mambo wanadai kwamba ukikata kitunguu huku unatafuna BIG G kuna uwezekano mkubwa usitokwe na machozi na hata kama yatatoka ni kwa kiwango kidogo ukilinganisha na ukifanya zoezi hilo bila kutafuna BIG G.



Africanjam, We provide news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Breaking news. We also provide...

 

10 years ago

GPL

KUTOKWA NA DAMU UKENI BILA MPANGILIO (ABNORMAL UTERINE BLEEDING)

Tatizo hili kwa ufupi huitwa ‘AUB’ mzunguko wa hedhi wa kawaida kwa mwanamke ni siku 28 na damu hutoka kwa siku nne, ingawa huwa inatofautiana kati ya mwanamke na mwanamke kwa kuwa wapo wenye mzunguko mfupi na wenye mzunguko mrefu tutakuja kuona katika mada zijazo. Mwanamke anayetokwa na damu kwa muda mrefu mara kwa mara huwa tunasema ana tatizo liitwalo ‘menometrorrhagia’. Mwanamke ambaye anapata damu...

 

9 years ago

GPL

KUTOKWA NA VINYAMA SEHEMU ZA SIRI (GENITAL WARTS) KWA WANAWAKE-2

Tunaendelea kuchambua ugonjwa wa kutokwa na vinyama sehemu za siri kabla ya kuelezea tiba yake, tuangalie dalili zake. Wiki iliyopita tulieleza dalili za ugonjwa huu. Tukasema mojawapo ni kuota vinyama vidogo au Genital Warts huonekana kama vioteo laini vinavyojitokeza juu ya ngozi ingawa wakati mwingine vinaweza kuwa vidogo mno kiasi cha kutoweza kuonekana vizuri kwa macho ya kawaida. Tukasema dalili nyingine ni mgonjwa kuwa na...

 

10 years ago

GPL

KUTOKWA NA DAMU UKENI BILA MPANGILIO (ABNORMAL UTERINE BLEEDING)-2

Wiki iliyopita nilianza kuzungumzia mada hii, leo nitaimalizia ili wiki ijayo nianze mada nyingine.
Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke huambatana na tatizo katika kuta za ndani za kizazi ambapo mwanamke hulalamika pia kuumwa na tumbo chini ya kitovu mara kwa mara. Cervicitis ni maambukizi sugu ya mlango na shingo ya kizazi ambapo mwanamke hupatwa na maumivu wakati wa tendo la kujamiiana na hata kutokwa na damu. Kasoro...

 

9 years ago

Vijimambo

FAMILIA YA ELIABU MWISA INAKUMBUKA MIAKA KUMI (10) TANGU KUTOKWA NA MAMA MPENDWA SUBILAGA KISYALA (2005-2015)

SASA ni miaka kumi Tangu alipo tutoka mpendwa wetu Subilaga Kisyala mwaka 2005 Agosti Familia, Ndugu, na Jamaa tutakukumbuka Daima Kwa mema uliyo tutendea ulupo kuwa hai, Alizaliwa mwaka 1968 na kufariki 2005 
Mpendwa wetu uliondoka na kuacha Baba na watoto wake Watano walio kuwa bado wanahitaji huruma na upendo wako, Daima hautafutika katika akili zao hakuna kama mama hakika upendo wa mama katika maisha ya kila siku unahitajika sana,
Wanapo sema kila alipo Mama mmoja kuna mafanikio hilo...

 

10 years ago

Habarileo

Majimaji kutosajili makapi

UONGOZI wa Majimaji umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji watakaotemwa kwenye timu zao, bali wanalenga kwa vijana ambao wana uwezo na kiwango cha hali ya juu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani