Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUTOKWA NA VINYAMA SEHEMU ZA SIRI (GENITAL WARTS) KWA WANAWAKE-2

Tunaendelea kuchambua ugonjwa wa kutokwa na vinyama sehemu za siri kabla ya kuelezea tiba yake, tuangalie dalili zake. Wiki iliyopita tulieleza dalili za ugonjwa huu. Tukasema mojawapo ni kuota vinyama vidogo au Genital Warts huonekana kama vioteo laini vinavyojitokeza juu ya ngozi ingawa wakati mwingine vinaweza kuwa vidogo mno kiasi cha kutoweza kuonekana vizuri kwa macho ya kawaida. Tukasema dalili nyingine ni mgonjwa kuwa na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

‘Warts’ ugonjwa unaoathiri sehemu za siri za wanaume, wanawake

Ni ugonjwa ambao pia unaweza ukatokea kwenye kiungo chochote cha mwili kama vile usoni na mikononi.

 

11 years ago

GPL

UGONJWA WA GENITAL WARTS KWA WANAWAKE

Ugonjwa wa Genital Warts ni hali ya kuota vinyama kwenye ngozi au utando laini unaozunguka maeneo ya siri, ni ugonjwa unaoenezwa kwa njia ya kujamiiana (sexually transmitted infection kifupi STI).
Ugonjwa huu unaweza kutokea kwenye uume, uke, mrija wa mkojo (urethra), shingo ya kizazi (cervix) au maeneo ya kuzunguka njia ya haja kubwa au ndani yake. Ugonjwa huu husababishwa na jamii ya virusi wanaoitwa kitaalamu Human...

 

10 years ago

GPL

KEMIKALI ZINAVYOATHIRI SEHEMU ZA SIRI ZA WANAWAKE

Wanawake hupenda sana kutumia marashi na vitu vingine kama sabuni zenye kemikali kwa ajili ya kujirembesha.
Baadhi yao wamekuwa wakipenda usafi wao binafsi wakitumia vitu  ambavyo baadhi yake ni hatari kwani wengine wanapenda kusafisha sehemu zao za siri kwa kutumia sabuni zenye kemikali, pafyumu yaani ‘deodorant’ au kupaka mafuta bila kujua madhara yake. Wanawake hao wanaotumia vitu hivyo wana hatari ya kupata...

 

9 years ago

BBCSwahili

Akamatwa kwa kuhifadhi sehemu za siri

Maafisa wa polisi nchini Afrika Kusini wameomba kupewa habari baada ya kumkamata raia mmoja wa Denmark kwa madai ya kuhifadhi sehemu za siri za wanawake 21 katika jokovu.

 

9 years ago

Mwananchi

Auawa kwa kunyofolewa sehemu za siri

Mkazi wa Kijiji cha Businda wilayani Bukombe Mkoa wa Geita ambaye ni mlemavu wa kusikia John Makoye (43) ameuawa kwa kukatwa mapanga na kunyofolewa sehemu za siri.

 

11 years ago

Mwananchi

Mume amkata mkewe sehemu za siri kwa wivu

Mkazi wa Mtaa wa King’azi, Mbezi Wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam (jina tunalihifadhi), amejeruhiwa vibaya sehemu mbalimbali za mwili wake ikiwamo kukatwa sehemu za siri na mumewe kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.

 

10 years ago

GPL

VAGINAL PROLAPSE: KULEGEA KWA MISULI SEHEMU ZA SIRI ZA MWANAMKE

Wanawake wengi wenye umri mkubwa hupata maradhi ya Vaginal prolapse yaani kulegea kwa misuli ya uke au sehemu za siri za mwanamke ambapo uke hutanuka zaidi ya kipenyo chake cha kawaida ambacho ni sentimita nne. Licha ya wanawake wenye umri mkubwa pia wasichana wanaweza kupata ugonjwa huu. Tufafanue kuwa kulegea kwa misuli ya uke kuna tofauti kidogo na kutanuka kwa misuli hiyo.
Misuli hiyo inapolegea huwa inashindwa kubana na...

 

10 years ago

GPL

VAGINAL PROLAPSE: KULEGEA KWA MISULI SEHEMU ZA SIRI ZA MWANAMKE-3

Dk. A. Mandai
Wiki iliyopita, tulieleza tatizo hili ambalo huwatokea zaidi wanawake walio katika umri mkubwa ingawa pia linaweza kutokea kwa wasichana. Tumeshaeleza chanzo cha tatizo hili na sasa tutaeleza athari zake na tiba kisha tutatoa ushauri.

ATHARI
Licha ya maumivu anayopata mwanamke mwenye tatizo hili, hali ya kulegea kwa misuli ya uke pia humuathiri hata mume kwani naye hushindwa kufurahia tendo la ndoa.
Mama...

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani