UGONJWA WA GENITAL WARTS KWA WANAWAKE
![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBIlOcac7kuAVUgqy9Vj7bPmCVL60h1HLPBBhJuWwmOv59M1RpxgsLcWqoTt12XL6GPrHyzlAQKAzXmIzS-U1RsFD/SideEffectsofLaserGenitalWartRemoval.jpg?width=650)
Ugonjwa wa Genital Warts ni hali ya kuota vinyama kwenye ngozi au utando laini unaozunguka maeneo ya siri, ni ugonjwa unaoenezwa kwa njia ya kujamiiana (sexually transmitted infection kifupi STI). Ugonjwa huu unaweza kutokea kwenye uume, uke, mrija wa mkojo (urethra), shingo ya kizazi (cervix) au maeneo ya kuzunguka njia ya haja kubwa au ndani yake. Ugonjwa huu husababishwa na jamii ya virusi wanaoitwa kitaalamu Human...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hnZ2zBlGGNVGsziQ57D1soGKbew2sGZUyOZi0ajw0fhrEUWYzTMfTqmHhJ0vrRmlpZoeSaglZHNpis3pVLTlZeBg-2YOGjJC/hemorrhoidsduringpregnancy.jpg?width=650)
KUTOKWA NA VINYAMA SEHEMU ZA SIRI (GENITAL WARTS) KWA WANAWAKE-2
10 years ago
Mwananchi27 Feb
‘Warts’ ugonjwa unaoathiri sehemu za siri za wanaume, wanawake
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HMrNkLH2ZKOBYI4bSvmJ-LNz1ZTAOznx2TTdck70eKyrVmF5mSU02KDzrfGOdUq4qZIO8maB8JBjYhL2pPlBmXwNkAWmn141/UrinaryTractInfection.jpg)
UGONJWA KWENYE KIBOFU KWA WANAWAKE-2
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v6wcuBb1nvtQjN*2fZ7YmhvM3XQpMlHbV8CT8dOrNUtFFYAcAGWmKdDXynWFEqxZwTLWnJswIfjTu1gJFCUQZNJEVtgzz5rb/uti.png)
UGONJWA KWENYE KIBOFU KWA WANAWAKE
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-mBjhe3EVbeI/VS6YTMtCgAI/AAAAAAAAGTk/SJeHGfelUMM/s72-c/Black-Couple-Arguing-pointing.jpg)
Talaka Hupelekea Ugonjwa wa Mshtuko wa Moyo Hasa kwa Wanawake
![](http://2.bp.blogspot.com/-mBjhe3EVbeI/VS6YTMtCgAI/AAAAAAAAGTk/SJeHGfelUMM/s1600/Black-Couple-Arguing-pointing.jpg)
Watu walio katika talaka wana uwezekano mkubwa wa kupatwa na ugonjwa wa mshtuko wa moyo ukilinganisha na wenzao ambao bado wako katika ndoa ,kulingana na utafiti nchini Marekani.Utafiti uliofanyiwa watu 15,827 unaonyesha kuwa wanawake ndio walioathirika zaidi na kwamba hupunguza hatari hiyo baada ya kuolewa tena.Utafiti huo uliochapishwa katika jarida la Journal unasema kuwa msongo wa mawazo kupitia kiasi unaohusishwa na talaka una athari za mda mrefu katika mwili.
Wakfu wa moyo nchini...
5 years ago
BBCSwahili29 Apr
Virusi vya Corona: Kwa nini ugonjwa huo ni hatari zaidi kwa wanaume zaidi ya wanawake
11 years ago
Mwananchi07 Mar
‘Wanawake 20,000 wana ugonjwa wa fistula Tanzania’