Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majimaji kutosajili makapi

UONGOZI wa Majimaji umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji watakaotemwa kwenye timu zao, bali wanalenga kwa vijana ambao wana uwezo na kiwango cha hali ya juu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Makapi Aliyosema Mh. Kinana Haya Hapa


“Nchi yetu inakwenda kwenye uchaguzi ikiwa na wagombea na makapi, sasa kati ya mgombea na makapi nani mshindi? - Kinana 04/08/2015

Wadau kutokana na kauli ya Mh Kinana aliyoitoa wakati akihutubia wanaCCM waliofika Lumumba kumsindikiza Mh Dr John Pombe Magufuli kuchukua fomu ya uraisi wa JMT, alimaanisha kwamba kila aliyetia nia ya uongozi CCM na hakupata fursa hiyo ni makapi. Nijuavyo makapi ni mabaki yeyote baada ya mchujo/mchakato.

Katika mchakato ule kulikuwa na watia nia 42 na baadae 38...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Kura za maoni zitumike kuchuja makapi

NI takriban mwezi mmoja na nusu sasa tangu Chama cha Wananchi (CUF) kumaliza shughuli ya kuchuja wagombea wake ndani ya chama; vyama viwili vikuu vya siasa nchini, CCM na Chadema, navyo vimeanza mchakato wa kusaka wawakilishi wake bungeni.

Mchakato huo maarufu kama kura za maoni huwahusisha wanachama wa vyama husika, ambapo hupiga kura kupendekeza majina ya watu wanaofaa ama kuwa wabunge, madiwani, wawakilishi au masheha huko Zanzibar.

Hii ni nafasi ya mwanzo kabisa kwa wanachama...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Dovutwa: Slaa, mkewe wote ni makapi ya CCM



Msomi ainanga CHADEMA
NA MOHAMMED ISSA
MWENYEKITI wa Chama cha UPDP, Fahmi Dovutwa amemvaa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbord Slaa na kumtaka ajitokeze hadharani kufafanua tatizo la msingi la Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Pia, ameshangazwa na kauli iliyotolewa na Dk. Slaa kuwa, CHADEMA haitasubiri wanachama watakaoachwa na CCM, kwenye uteuzi wa wagombea katika uchaguzi mkuu ujao, wakati yeye na mkewe ni makapi ya CCM.
Dovutwa amesema Dk. Slaa alitokea CCM na kwamba, anatakiwa kuueleza umma ubaya...

 

11 years ago

Mwananchi

SIASA: Chadema: Hatuchukui tena makapi ya CCM

>Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakitasubiri wanachama watakaoachwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye uteuzi wa wagombea katika uchaguzi mkuu ujao.

 

10 years ago

Habarileo

Kinana: Uchaguzi mwaka huu utakuwa wagombea na makapi

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, utakuwa kati ya wagombea na makapi ya CCM na wananchi watachagua wagombea wa chama hicho tawala.

 

10 years ago

Michuzi

SIMBA YAIKAUSHA MAJIMAJI YA SONGEA 6-1

Mshambuliaji wa Simba, Peter, Mwalyanzi akiwatoba wachezaji wa Majimaji ya Songea katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam ambapo Simba iliibuka na ushindi wa bao 6-1. (Picha na Francis Dande)Wachezaji wa Simba, Hamis Kiiza na Irahim Hajibu wakishangilia kwa pamoja moja ya bao lililofungwa na Hajibu.Ibrahim Hajibu wa Simba akiifungia timu yake bao la kichwa.Wachezji wa Majimaji ya Songea baada ya kufungwa.Hamis Kiiza akimiliki mpira.Kwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Kocha Majimaji abaini kasoro

Kocha wa Majimaji, Mika Lonnstrom ametoa tathmini ya timu yake kwenye mechi kumi za mwanzoni wa msimu huu ambazo imeshacheza huku akisema kuwa ameridhika na kiwango chao ingawa kuna kasoro chache zinazotakiwa kurekebishwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Mzungu atua Majimaji

Dar es Salaam. Klabu ya Majimaji ya Songea imejiunga na klabu nyingine za Ligi Kuu kuajiri kocha kutoka nje ya Afrika.

 

9 years ago

Mwananchi

Vipigo vyamrudisha Mzungu Majimaji

Kocha wa Majimaji, Mika Lonnstrom amechoshwa na vipigo vya timu yake na sasa ameamua kukatisha likizo yake ya muda mrefu ili aje kuiokoa klabu hiyo kwenye janga la kushuka daraja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani