SIMBA YAIKAUSHA MAJIMAJI YA SONGEA 6-1
Mshambuliaji wa Simba, Peter, Mwalyanzi akiwatoba wachezaji wa Majimaji ya Songea katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam ambapo Simba iliibuka na ushindi wa bao 6-1. (Picha na Francis Dande)Wachezaji wa Simba, Hamis Kiiza na Irahim Hajibu wakishangilia kwa pamoja moja ya bao lililofungwa na Hajibu.Ibrahim Hajibu wa Simba akiifungia timu yake bao la kichwa.Wachezji wa Majimaji ya Songea baada ya kufungwa.Hamis Kiiza akimiliki mpira.Kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLMAJIMAJI SEREBUKA MARATHON YAUNGURUMA SONGEA
5 years ago
MichuziBABU SEYA NA MKEWE WATEMBELEA MAKUMBUSHO YA MAJIMAJI SONGEA
Msanii maarifu Nguza Mbangu Viking maarufu kama "Babu Seya" na Mkewe Desderie P. Haule ambae pia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Muheza Tanga, wamefanya Utali wa ndani mjini Songea kwa kuitembelea Makumbusho ya Maji Maji kwa lengo la kujifunza urithi wa historia ya Vita vya Maji Maji vilivyo tokea miaka ya 1905 hadi 1907.
Akizungumza baada ya kuitembelea Makumbusho hiyo Bw Viking ameipongeza Makumbusho ya Taifa kwa kuhifadhi urithi huo wa...
10 years ago
Michuzichipukizi wa UVCCM wa Songea watia fora katika maadhimisho ya miaka 38 ya CCM uwanja wa Majimaji
10 years ago
GPLCHIPUKIZI WA UVCCM SONGEA WATIA FORA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 38 YA CCM UWANJA WA MAJIMAJI
11 years ago
Dewji Blog23 Apr
Mchezaji wa zamani wa Majimaji ya Songea, Mtawa Kaparata aibuka mshindi wa shindano la Tanzania Movie Talents mkoani Mbeya
Na Josephat Lukaza wa Proin Promotions Limited – Mbeya
Shindano la Tanzania Movie Talents Kwa kanda ya Nyanda ya Juu Kusini, Mkoani Mbeya limefikia Tamati hapo jana kwa washindi watatu kutoka kanda hii ya nyanda ya juu Kusini Kupatikana na Kutangazwa na Majaji watatu.
Washindi waliotangazwa na Jaji Mkuu wa Shindano hilo, Roy Sarungi kwa kushirikiana na Majaji wawili Single Mtambalike na Yvonne Chery ni Steven Mapunda, Issalito Issaya na Mtawa Kaparata “BABU”
Mmoja kati ya washindi watatu...
10 years ago
VijimamboHOTUBA YA MWENYEKITI WA CCM TAIFA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KATIKA SHEREHE ZA KUTIMIZA MIAKA 38 YA CCM, KWENYE UWANJA WA MAJIMAJI, SONGEA - RUVUMA, TAREHE 01 FEBRUARI, 2015
HOTUBA YA MWENYEKITI WA CCM TAIFA SIKU YA SHEREHE ZA KUZALIWA KWA CCM
10 years ago
Habarileo05 Aug
Majimaji kutosajili makapi
UONGOZI wa Majimaji umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji watakaotemwa kwenye timu zao, bali wanalenga kwa vijana ambao wana uwezo na kiwango cha hali ya juu.
9 years ago
Mwananchi15 Nov
Kocha Majimaji abaini kasoro
9 years ago
Mwananchi04 Jan
Vipigo vyamrudisha Mzungu Majimaji