Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vipigo vyamrudisha Mzungu Majimaji

Kocha wa Majimaji, Mika Lonnstrom amechoshwa na vipigo vya timu yake na sasa ameamua kukatisha likizo yake ya muda mrefu ili aje kuiokoa klabu hiyo kwenye janga la kushuka daraja.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kocha Mzungu atua Majimaji

Dar es Salaam. Klabu ya Majimaji ya Songea imejiunga na klabu nyingine za Ligi Kuu kuajiri kocha kutoka nje ya Afrika.

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI LIGI KUU BARA: Majimaji FC imepandishwa na Mswahili, itashushwa na Mzungu?

Mpira unazidi kurudi katika nyumba zake na Songea ni moja kati ya nyumba za soka ambazo mpira ulihama kwa miaka mingi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Vinara La Liga waambulia vipigo

Timu vinara wa ligi kuu ya Hispania za Barcelona na Real Madrid zimeambulia vipigo katika mechi zao za mwishoni mwa wiki.

 

9 years ago

Habarileo

Yanga ni vipigo mpaka Mapinduzi

MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga, jana walianza vema michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mafunzo ya mjini hapa katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Amaan.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vipigo huathiri wanawake kisaikolojia

LICHA ya kuwepo kwa sheria mbalimbali zinazowalinda wanawake lakini vitendo vya ukatili kwa wanawake vimekuwa vikiongezeka.Kuongezeka kwa vitendo hivyo kunachangiwa na kukosekana kwa elimu hasa katika baadhi ya maeneo ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Vipigo vyatawala:Ligi ya Europa

Michuano ya ligi ya Europa imeendelea kutimua vumbi kwenye viwanja kadhaa barani Ulaya usiku wa kuamkia leo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Simona Halep aendeleza vipigo

Baada ya Simona Halep kumshushia kichapo cha seti 6-0 6-2 Serena Williams amezinduka na kumbamiza mcanada Eugenie Bouchard.

 

10 years ago

BBCSwahili

Vipigo kutoka Kenya,ni somo:Tanzania

Kocha wa timu ya taifa ya kriketi Tanzania Hamisi Abdallah amesema kipigo ilichokipata timu yake hivi karibuni kimempa somo .

 

10 years ago

GPL

SHILOLE AENDELEZA VIPIGO KWA NUH

Shani ramadhani/mchanganyiko
MWANADADA anayefanya vizuri katika muziki na filamu nchini, Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole, ameendeleza tabia yake ya kumpa vipigo vya mara kwa mara mpenzi wake, Naftar Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ ambaye pia ni msanii. Mwanadada anayefanya vizuri katika muziki na filamu nchini, Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole akiwa na mpenzi wake Nuhu Mziwanda. Habari kutoka vyanzo vya kuaminika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani