Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dovutwa: Slaa, mkewe wote ni makapi ya CCM



Msomi ainanga CHADEMA
NA MOHAMMED ISSA
MWENYEKITI wa Chama cha UPDP, Fahmi Dovutwa amemvaa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbord Slaa na kumtaka ajitokeze hadharani kufafanua tatizo la msingi la Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Pia, ameshangazwa na kauli iliyotolewa na Dk. Slaa kuwa, CHADEMA haitasubiri wanachama watakaoachwa na CCM, kwenye uteuzi wa wagombea katika uchaguzi mkuu ujao, wakati yeye na mkewe ni makapi ya CCM.
Dovutwa amesema Dk. Slaa alitokea CCM na kwamba, anatakiwa kuueleza umma ubaya...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

SIASA: Chadema: Hatuchukui tena makapi ya CCM

>Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakitasubiri wanachama watakaoachwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye uteuzi wa wagombea katika uchaguzi mkuu ujao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dovutwa awavaa CCM

MWENYEKITI wa Chama cha UPDP, Fahmin Dovutwa amesema mchakato wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kuwahoji wanachama wake walioanza mbio za urais 2015 unatia shaka. Dovutwa alitoa kauli hiyo juzi...

 

11 years ago

GPL

JERRY SLAA AMKIMBIA MKEWE

Na Musa Mateja MEYA wa Ilala, Jerry Slaa ameonyesha kituko cha aina yake kwa kumkiambia mkewe baada ya kuona nyoka akielekezewa upande alipokuwa ameketi. Meya wa Ilala, Jerry Slaa ndani ya Ukumbi wa Serena, Posta jijini Dar. Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya Ukumbi wa Serena, Posta jijini Dar, ambapo Slaa alikuwa amealikwa kwenye sherehe za utoaji wa Tuzo za Watu ndipo alipoambatana na mkewe huyo.…...

 

11 years ago

Mwananchi

CCM, Chadema, CUF wanavuruga Bunge, asema Dovutwa

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Fahmi Dovutwa alichafua hali ya hewa baada ya kuvituhumu vyama vya CCM, Chadema na CUF kuwa ndiyo vinavuruga Bunge kwa sababu ya misimamo yao.

 

9 years ago

Dewji Blog

Tundu Lissu amshukia Dk.Slaa kwa madai ya kuponzwa na mkewe

DSC01778

Mwanasheria wa CHADEMA na mgombea ubunge jimbo la Singida mashariki, Tundu Lissu,akizungumza kwenye mkutano wa kampeni ya Ukawa mkoa wa Singida uliofanyika kwenye uwanja wa Peoples mjini hapa.Pamoja na mambo mengine,Tundu amewaomba wakazi wa Singida, kumpa kura ya ndiyo mgombea urais kwa tiketi ya Ukawa, Edward Ngoyai Lowassa, wabunge na madiwani wa Ukawa,ili kuigaragaza CCM kwa madai imechoka na umechuja mbele ya macho ya Watanzania.

DSC01807

DSC01826

Mgombea ubunge jimbo la Singida mjini kupitia ukawa,...

 

10 years ago

Vijimambo

DR. SLAA AIBUKA NA KUSEMA ATAWEKA KILA KITU HADHARANI MUDA WOTE KUANZIA SASA

Wakati kukiwa na hali ya sintofahamu kuhusu msimamo halisi wa kisiasa wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa, mwenyewe ameibuka na kusema ataweka kila kitu hadharani muda wowote kuanzia sasa.

Katika siku za karibuni, Dk. Slaa amekuwa gumzo kutokana na kutoonekana katika shughuli mbalimbali za chama hicho pamoja na mikutano muhimu inayoitishwa na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

Akizungumza na NIPASHE kwa njia ya simu jana, Dk....

 

9 years ago

Vijimambo

VIONGOZI WOTE WA CCM WA KATA YA MKOMAZI NA WAPIGA KURA 1,400 WA CCM WAHAMIA CHADEMA


Viongozi wote wa CCM wa kata ya mkomazi na pamoja na wapiga kura 1,400 wa eneo hilo wilayani Korogwe wamejiunga na CHADEMA huku baadhi yao wakiamua kugombea nafasi mbali mbali za uongozi kwa tiketi ya chama hicho.

Wakizungumza katika mkutano wa kampeni ulifanyika katika kijiji cha mikocheni kilichopo kata ya mkomazi wilayani Korogwe baadhi ya viongozi hao pamoja na wengine wa CCM katika kata sita waliokatwa majina yao katika zoezi la kura za maoni kwa tiketi ya CCM wamesema  wameamua kujiunga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani