Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM, Chadema, CUF wanavuruga Bunge, asema Dovutwa

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Fahmi Dovutwa alichafua hali ya hewa baada ya kuvituhumu vyama vya CCM, Chadema na CUF kuwa ndiyo vinavuruga Bunge kwa sababu ya misimamo yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Nape asema ni ndoa ya Chadema, CUF, NCCR ya ubabaishaji

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape NnauyeKATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema ‘ndoa’ upinzani bungeni iliyozaa Baraza Kivuli la Mawaziri la vyama vya Chedema, CUF na NCCR-Mageuzi, ni mwendelezo wa ubabaishaji na matusi makubwa kwa vyama vingine vilivyokubali ndoa hiyo hasa CUF.

 

11 years ago

Habarileo

CCM, CUF, Chadema washambuliwa

MWENYEKITI wa Chama cha UPDP, Fahmi Dovutwa amevishambulia vyama vya CCM, CUF na Chadema kuwa vinaharibu Bunge Maalumu la Katiba, kutokana na kutaka misimamo yao ya vyama itawale vikao vya bunge hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yavilipua CCM, CUF Zanzibar

WAKATI Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) ikitimiza miaka mitatu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema mfumo wa serikali hiyo Zanzibar umeshindwa kudhibiti ufisadi na kuua dhana ya demokrasia...

 

11 years ago

GPL

DOVUTWA: HAKUNA URAFIKI KATIKA VYAMA VYA SIASA ASEMA KINACHOWAZUIA NI RUZUKU

Makala: Elvan Stambuli
MWENYEKITI wa United Peoples Democratic Party (UPDP),  Fahmi Nassor Dovutwa amesema hakuna urafiki katika vyama vya siasa kwa kuwa kila chama kinataka kwenda ikulu kukalia kiti. Mwenyekiti wa Chama cha UPDP Taifa na Mjumbe wa Mkutano wa Bunge…

 

10 years ago

Vijimambo

Msajili avipiga mkwara CCM, Chadema, CUF

Msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi.
Dar es Salaam. Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amevitaka vyama kurekebisha katiba zao kwenye kipengele kinachoruhusu kuanzishwa kwa vikosi vya ulinzi na usalama.Vyama vyenye vikosi cha ulinzi na usalama ni Chadema chenye Red Brigade, CCM (Green Guard), CUF (Blue Guard) na sasa ACT-Wazalendo (ACT Amani).Mutungi alisema uanzishwaji wa vikundi hivyo unakwenda kinyume na Katiba ya nchi inayolipa jeshi la polisi mamlaka ya...

 

5 years ago

CCM Blog

WABUNGE WENGINE CHADEMA NA CUF MBIONI KUTIKIA CCM

TAKRIBANI wabunge tisa kutoka vyama viwili vikubwa vya upinzani bungeni – Chama cha Wananchi (CUF) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wako mbioni kuvihama vyama vyao.

Taarifa kutoka kwa baadhi ya watu waliokaribu na wabunge hao zinasema, tayari wawakilishi hao wa wananchi, wamekamilisha majadiliano na baadhi ya viongozi wakuu wa vyama wanavyotarajia kujiunga navyo.

Kwa mujibu wa mtoa taarifa wa MwanaHALISI ONLINE, hatua ya  kuondoka kwa wabunge hao katika kipindi hiki cha kuelekea...

 

9 years ago

Mwananchi

JK ahutubia Bunge Kenya, asema mgombea wa CCM atashinda urais

Rais Jakaya Kikwete ameliambia Bunge la Kenya kuwa ana uhakika mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli atashinda na kwamba ataimarisha zaidi ushirikiano baina ya Tanzania na Kenya na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dovutwa awavaa CCM

MWENYEKITI wa Chama cha UPDP, Fahmin Dovutwa amesema mchakato wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kuwahoji wanachama wake walioanza mbio za urais 2015 unatia shaka. Dovutwa alitoa kauli hiyo juzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani