Mashindano Ya Vyuo Vikuu Yazinduliwa rasmi Mkoani Dodoma.
Mashindano ya michezo kwa vyuo vikuu Tanzania yamezinduliwa rasmi mkoani Dodoma na kushirikisha vyuo vikuu 18 kutoka Tanzania bara na Visiwani.
Akizindua mashindano hayo katika chuo kikuu cha Dodoma mkuu wa mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa anawataka washiriki wa michezo yote kutumia michezo hiyo ipasavyo na watambue michezo ni ajira huku akiwaomba wakazi wa Dodoma kujitokeza kwa wingi kwa lengo la kuunga mkono mashindano hayo.
Makamu mkuu wa chuo kikuu cha Dodoma Idris Kikula naye akasisitiza...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo27 Mar
TAMKO LA UONGOZI WA SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU DODOMA KULAANI KUHUSISHWA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU VYA DODOMA NA KUMUOMBA MH. LOWASA KUGOMBEA URAIS.
Tamko la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Dodoma Kulaani Kuhusishwa Kwao Kumshawishi Lowassa Kuchukua Form ya Uraisi
Ndugu Waandishi wa habari, Tunapenda kutanguliza shukrani za dhati kwenu kwa kufika katika eneo hili kutusikiliza.Mbele yenu ni viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka Vyuo vikuu mbalimbali vilivyopo mkoani Dodoma.Ndugu waandishi...
9 years ago
MichuziBARAZA LA VYUO VIKUU AFRIKA MASHARIK(IUCEA)KUWA NA MAONESHO YA VYUO VIKUU UGANDA
10 years ago
Habarileo29 Mar
Vyuo Vikuu Dodoma vyalaani kuhusishwa na Lowassa
VIONGOZI wa Serikali za wanafunzi wa Vyuo Vikuu mkoani Dodoma wametoa tamko la kulaani vikali kuhusishwa kwa wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Dodoma kwa kumuomba Edward Lowassa agombee Urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
11 years ago
GPLMASHINDANO YA AIRTEL RISING STAR YAZINDULIWA RASMI DAR
9 years ago
MichuziMASHINDANO YA NGALAWA YA BALIMI YAZINDULIWA RASMI JIJINI MWANZA
11 years ago
Dewji Blog25 May
Mashindano ya DATS yazinduliwa mkoani Morogoro, mikoa tisa kushiriki
Mwenyekiti wa chama cha Dats Tanzania Gesase Waigama akiongea wakati wa ufunguzi wa mashindano ya mchezo huo unaoshirikisha mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza, Mbeya, Kilimanjaro, Kagera, Arusha na wenyeji wao Morogogoro ambapo katika mashindano hayo yaliodhaminiwa na bia aina ya Safari mshindi wa kwanza atatoka na kitita cha shilingi 600,000 hapo kesho.
Mwenyekiti huyo wa Dats akizindua mchezo huo ili kuruhusu pambano kuanza rasmi.
Baadhi ya washiriki wa mchezo huo wakifanya...
11 years ago
MichuziMASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA YAZINDULIWA RASMI LEO JIJINI DAR.
11 years ago
MichuziMashindano ya Diwani Cup kata ya Mutuka yazinduliwa huko Mkoani Manyara
Diwani wa Kata ya Mutuka Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, Mwalimu Yona Wao amezindua mashindano ya soka kwenye kata yake itakayoshirikisha timu tano za vijiji vilivyopo...