Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASTAA WAMWANDAMA DK. FADHILI

 Dk. Fadhili Emily. Mwandishi wetu KUFUATIA elimu yake ya kisasa ya jinsi mwanamke yeyote mwenye uzazi anavyoweza kupata watoto mapacha, Dk. Fadhili Emily wa Kitengo cha Sayansi na Tiba Asilia Clinic kilichopo Mbezi Afrikana, ameanza kuandamwa na baadhi ya mastaa wakitaka kukutana naye ‘laivu’ kwa ajili ya kuwapa somo hilo kwa ufasaha zaidi. Akuzungumza na Ijumaa Wikienda juzi, Dk. Fadhili alisema mastaa kibao (hakuwataja...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

DK. FADHILI AWAPA SOMO LA UZAZI MASTAA

Daktari wa Kitengo cha Sayansi na Tiba Asili kilichopo Mbezi-Afrikana, Fadhili Emilly. IMELDA MTEMA, Daktari wa Kitengo cha Sayansi na Tiba Asili kilichopo Mbezi-Afrikana, Fadhili Emilly ambaye ni mdhamini wa fursa ya wasomaji kujipatia Tv Flat Screen inayotoka kwenye gazeti hili, ameibuka na somo la uzazi kwa mastaa wa Bongo.
Akizungumza na mwandishi wetu jijini Dar juzi, Dk. Fadhili alisema wapo mastaa wanahangaika kupata...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkosi wamwandama Brendan,Liverpool

Kocha wa klabu ya Liverpool Brendan Rodgers yupo kwenye wakati mgumu baada ya kushindwa kutwaa taji lolote.

 

11 years ago

Habarileo

Akina Zitto wamwandama Mbowe

MGOGORO wa uongozi ndani ya Chadema, sasa umehamishiwa rasmi Baraza Kuu kwenye mpasuko, baada ya watuhumiwa waliovuliwa madaraka na Kamati Kuu (CC) ya chama hicho, kukata rufaa huko wakijua kuna wapinzani waliojitokeza hadharani dhidi ya CC na Mwenyekiti Freeman Mbowe.

 

9 years ago

Mwananchi

‘Mzimu’ wa kanuni wamwandama Naibu Spika

Ushiriki wa aliyekuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk Tulia Ackson katika masuala ya siasa na hatimaye kuchaguliwa Naibu Spika wa Bunge, umezidi kuibua maswali huku akidaiwa kuwa amekiuka kanuni za watumishi wa umma.

 

10 years ago

GPL

ISHU YA MASTAA KUJIUZA CATHY AWALAUMU MASTAA WA KIUME

Na Mayasa Mariwata
MKONGWE kwenye tasnia ya filamu Bongo, Subrina Rupia ‘Cathy’ amewalaumu vikali mastaa wa kiume Bongo kuwa ndiyo chanzo kikubwa cha tasnia kutawaliwa na mastaa wa kike wanaojiuza. Mkongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo, Subrina Rupia ‘Cathy’ Akizungumzia kuhusiana na kuwepo kwa madai ya wasanii wa kike Bongo Movie kujiuza, Cathy alisema hawezi kuweka wazi kama anawajua wahusika au...

 

11 years ago

Michuzi

BONDIA FADHILI AWADH AFARIKI

Bondia wa ngumi za kulipwa Fadhili awadh amefariki dunia katika hospital ya Mwananyamala jijini Dar es salaam baada ya kuugua kwa siku kadhaa.  Marehemu Fadhili Awadh alikuwa ni miongoni mwa mabondia waliochaguliwa kucheza  mpambano wa ubingwa tarehe 29 mwezi huu wa tatu dhidi ya mpinzani wake toka Tanga Alan Kamote, na  alikuwa katika maandalizi ya mpambano huo.  Sababu ya kifo chake kwa ripoti ya daktari wa Mwananyamala kwa kiongozi wa ngumi Ibrahim Kamwe ni kuwa fadhili alikuwa na...

 

9 years ago

GPL

DOKTA FADHILI KUTUA BONGO

Mwandishi Wetu DAKTARI wa Kitengo cha Sayansi na Tiba Asili kilichopo Mbezi-Afrikana, Dokta Fadhili Emily ambaye pia ni mfadhili mkuu wa zawadi mbalimbali zinazotoka kwenye Magazeti Pendwa ya Global Publishers, amefunguka kuwa anatarajia kutua nchini akiwa na utaalamu mpya ambao utawasaidia watu kuweza kupata watoto mapacha wa jinsia wanayotaka na wanataka wafanane na baba au mama.  ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1JuCh2s ...

 

9 years ago

Global Publishers

TRA watikisa utajiri wa Dk.Fadhili

DOKTA-FADHILI-AMZAWADIA-ZARI-BAISKELI.jpgDk. Fadhili Emily.

Mwandishi wetu
KASI ya Rais Dk. John Pombe Magufuli inatikisa kila kona. Baada ya mtabibu Dk. Juma Mwaka ‘JJ Mwaka’ kuibukiwa hospitalini kwake na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Hamis Kigwangalla wiki iliyopita na kuagizwa uchunguzi wa uhalali wa huduma zake, hali imekuwa tete kwa mtatibu mwingine, Dk. Fadhili Emily anayemiki kliniki ijulikanayo kama The Fadhaget Sanitarium iliyopo Afrikana Mbezi Beach jijini Dar.

dk fadhili (9)Imeelezwa kuwa, Dk....

 

9 years ago

GPL

DK. FADHILI KUMWAGA ZAWADI KWA WASOMAJI

Mwandishi wetu DAKTARI wa Kitengo cha Sayansi na Tiba Asili kilichopo Mbezi-Afrikana, Fadhili Emily amewataka wasomaji wa Magazeti Pendwa kukaa mkao wa kula kwani ataanza kutoa zawadi mbalimbali kupitia mashindano. Akizungumza na Risasi Jumamosi, Dk. Fadhili ambaye amekuwa akidhamini mashindano mbalimbali ya magazeti ya Global Publishers, alisema kwa kuanzia, wasomaji wa Gazeti la Amani, watazawadiwa ‘flat screen’....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani