Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Master J asema tuzo za kimataifa wanazopata wasanii wa Tanzania haziwanufaishi

Mtayarishaji mkongwe wa muziki na jaji wa mashindano ya Bongo Star Search, Master Jay, amesema tuzo wanazoshiriki wasanii wa Tanzania nje ya nchi haziwasaidii katika kutanua wigo wa kibiashara wa msanii hao. Akizungumza na kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Master Jay alisema wasanii wa Tanzania wamekuwa wakitumia gharama kubwa kutengeneza video zenye […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Tuzo za Filamu Tanzania 2015 zafana Dar wasanii kibao wazoa tuzo

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala pamoja na viongozi mbalimbali wa meza kuu kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 wakipiga picha na baadhi ya washindi wa Tuzo za Filamu 2015 jana zilizofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala pamoja na viongozi mbalimbali wa meza kuu kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 wakipiga picha na baadhi ya washindi wa Tuzo za Filamu 2015 jana Mei 23, zilizofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini SERIKALI imesema itaendelea kuweka mfumo mzuri na kujenga mazingira mazuri ili kuhakikisha biashara ya filamu inaimarika, ikiwa ni pamoja na kuwavutia wawekezaji binafsi waliopo tayari kuwekeza katika tasnia ya...

 

9 years ago

Bongo5

Director Khalfani asema wasanii wanachangia kuwafanya ma-director wa TZ wasifike viwango vya kimataifa

Director wa video za muziki nchini, Khalfani amesema kuwa kitendo cha wasanii wa Tanzania kutotumia waongozaji wa video wa hapa nyumbani ni moja ya sababu inayowafanya ma-director hao wasifike viwango vya kimataifa. “Hivi we unajua kwamba wasanii wa Tanzania ndio wanachangia asilimia nyingi tu kutushusha sisi,” alisema Khalfani kupitia Planet Bongo ya EA Radio. “Ila […]

 

9 years ago

Bongo5

Wasanii walioiweka Tanzania kwenye ramani ya kimataifa mwaka 2015

Tupo kwenye robo ya tatu ya mwaka 2015, mengi yamekwishatokea na yanaendelea kutokea. Macho na masikio ya watanzania wengi kwa sasa yapo kwenye masuala ya kampeni za uchaguzi na pengine hiyo inafanya baadhi ya mambo kutomulikwa ipasavyo. Kiburudani pamoja na matatizo sugu yaliyopo kwenye kiwanda chetu, nchi yetu imefanikiwa kujipenyeza kwenye majukwaa mengi ya kimataifa. […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Domokaya afunguka kuhusu tuzo za mziki kwa wasanii wa Hip hop Tanzania!

Mandojo. Na Mwandishi Wetu. MANDOJO na DOMOKAYA ni wasanii walioweza kutengeneza namna tofauti ya uwasilishwaji wa mziki wa TANZANIA (BONGO FLAVOUR) kwa matumizi ya ‘Guitor’ mbali na falsafa iliyopatikana katika kazi sambamba na ustadi ulioonekana kati yao hawa jamaa ambao walishawahi kufanya kazi mbalimbali zilizofanya vizuri ikiwemo ‘Nikupe’, ‘Wanoknok’ na ‘Dingi’.   Wakati huu watu hawa kila mmoja anaishi nyumbani kwake kutokana na namna mfumo wa maisha ya binadamu ulivyojengwa. Hasa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Obedi Laiser wa kampuni ya Tigo Tanzania ashinda tuzo ya kimataifa katika sherehe ya wafanyakazi Mjini Miami

 

1B0A2391

  Meneja wa Fedha na Usalama wa Tigo Pesa Bw. Obedi Laiser na viongozi wa Millicom nchini Marekani.

1B0A2436

Tigo leo yamkaribisha  nyumbani Tanzania, Bwana Obedi Laiser, baada ya kushinda tuzo ya mfanyakazi wa kimataifa katika tukio la kifahari wiki iliyopita mjini Miami,USA iliyoandialiwa na Milicom,Kampuni ya mawasiliano na vyombo vya Habari kutiko Uswizi ,inayo imiliki Tigo/Kampuni ambayo inamiliki Tigo.

Bwana Laiser aliteuliwa na Mkurugenzi mkuu wa Tigo Bwana Diego Gutierrez kwa kazi yake...

 

9 years ago

Michuzi

Daktari Bingwa Mshauri maradhi ya Moyo kutoka Tanzania kupewa Tuzo ya Kimataifa nchini Uingereza Leo

Daktari wa Kwanza Bingwa Mshauri wa Maradhi ya Moyo kutoka Hospitali ya Rufaa ya Morogoro nchini Tanzania Dr.Harun Elmada Nyagori azawadiwa Tuzo ya Kimataifa na kutambuliwa na Baraza la Madaktari Bingwa wa shirikisho la Nchi za Ulaya(European Society of Cardiology) -London Uingereza'Akipewa hiyo Tuzo ya Heshima na Rais wa Shirikisho Hilo Prof.Pinto alimwelezea imekuwa Historia kubwa kumpata Daktari aliyewakilisha Mada za Utafiti wa Maradhi ya Moyo kutoka Tanzania na hawajawahi kumpata...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tanzania yang’ara Kimataifa,Asasi yake yatwaa tuzo ya Ikweta 2015 zinazotolewa na Umoja wa Mataifa-UN

UNMBi. Helen Clark, Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo  wa Umoja wa Mataifa ( UNDP)  akiwatangaza washindi wa Tuzo ya Ikweta ambayo hutolewa na Umoja Mataifa kwa  NGO ambazo zinajihusisha na utunzaji wa  mazingira, ulinzi na uhifadhi wa misitu, matumizi bora na endelevu ya ardhi na mali asili na  kupiga vita umaskini.Tuzo ya mwaka huu wa 2015 ambayo ni  dola  za kimarekani 10, 000 kwa kila mshindi inakwenda kwa NGO 21 ambapo  NGO ya Tanzania ijulikanayo kama Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu...

 

10 years ago

Bongo5

Basata walialika wasanii kuja kutoa maoni yao kuboresha tuzo za KTMA, ni wasanii wawili tu waliofika — Nikk Wa Pili

Wiki iliyopita ilifanyika tathmini ya tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) za mwaka jana, ikiwa ni maandalizi ya kuelekea kwenye msimu mpya wa tuzo hizo kwa mwaka huu 2015. Kwa kawaida Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) hualika wadau mbalimbali kuhudhuria tathmini ya tuzo za mwaka uliopita kwa lengo la kuwapa nafasi ya kutoa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani