Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matajiri duniani wazidi kunona, maskini wateseka, kusononeka

Kila mwaka katika majira ya baridi ya Ulaya ambayo ni miezi ya Januari na Februari, Mji wa Davos ulioko katika milima ya Alps nchini Uswisi, huwa mwenyeji wa mkutano muhimu wa siku tano uliopewa jina la Jukwaa la Uchumi wa Dunia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MATAJIRI WALIKUWA MASKINI, UNACHOSHINDWA WEWE NI KIPI?

Bill Gate. Ndugu zangu, hakuna anayeweza kuupinga ukweli kwamba, maisha ya sasa ni magumu, ugumu ambao kama mtu atabweteka na kushindwa kutimiza wajibu wake ipasavyo upo uwezekano mkubwa wa kujikuta anaingia katika mfumo wa maisha yasiyokuwa na mbele wala nyuma na ugumu huo wa maisha kuwa mara mbili yake. Lakini licha ya ukweli huo, bado nafasi zipo wazi kwa watu kuingia katika ulimwengu wa mafanikio. Hii itatokea tu kama mtu...

 

9 years ago

Global Publishers

Walikuwa maskini kama wewe, sasa ni matajiri wa kutupwa

Oprah-Winfrey3OPRAH WINFREY.

Hakuna anayezaliwa na fedha, binadamu wote wamekuja duniani wakiwa mikono mitupu kabisa, tena bila nguo. Watu wanapokua, wengi wanakuwa hawana vitu hivyo na hata kula yao wakati mwingine ni ya shida mno.

Wanapofanikiwa, huwa hawakai kimya, wanatamani na wengine wafanikiwe ndiyo maana wengine wamekuwa wazi na kusema: “Kuzaliwa maskini si kosa lako, ila kufa maskini, hilo ni kosa lako.”

Hawa hapa chini ni matajiri wakubwa kwa sasa, ila kabla ya hapo, walikuwa maskini kama wewe...

 

11 years ago

Mwananchi

Pamoja na takwimu kuonyesha uchumi wa Tanzania unakua, bado kuna pengo kubwa kati ya maskini na matajiri

Kwa mwaka wa tano mfufulizo, Emmanuel Mhimba amekuwa akiwekeza nguvu nyingi katika kilimo cha mpunga akitarajia mafanikio makubwa.

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA LAZIMA TUWE MAKINI NA MATAJIRI WA NCHI HII KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU NA USTAWI WA WATANZANIA MASKINI

Ni wazi kwamba ningependa siku moja watanzania waweze kujua ukweli wa nini kinafanywa na matajiri wa nchi hii.Matajiri waliojaa  ulafi wa kunufaika na rasilimali za nchi hii kwa manufaa yao na familia zao ukijumlisha wapambe wao na washirika wa ndani na nje ya nchi hii ya Tanzania. Ni katika vita hii ndio inayopelekea serekali yetu kuyumba na kuyumbishwa (STATE TO BE CAPTURED) na hawa matajiri pale wanapopigania maslahi yao na kudiriki kutumia utajiri wao na umiliki wao wa vyombo kama vya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Asilimia moja ya watu matajiri duniani

Matajiri hao wanaishi katika visiwa vya kibinafsi,lakini je, hao ndio matajiri wanaojulikana Pekee?.

 

5 years ago

BBCSwahili

Matajiri wanafaa kulaumiwa kwa mzozo wa hali ya hewa duniani.

Matajiri wanapaswa kulaumiwa kwa mzozo wa hali ya hewa duniani, utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Leeds cha nchi 86 unasema

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani