Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MATENGENEZO YAKIENDELEA MAENEO MBALIMBALI YA KARIAKOO

 Kazi zikiendele katika mitaa mbalimbali ya Kariakoo jijini Dar es Salaam ikiwa na matengenezo ya fremu mbalimbali.Nondo zikiwa katwa kwaajili ya kutengeneza fremu katika mtaa wa Congo ,Kariakoo jijini Dar es Salaam.(Picha na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Muhimbili, Kariakoo, maeneo mengine kukosa maji

MAMLAKA ya Maji Safi na Maji Taka (Dawasco) imetangaza kukosekana kwa maji kwa siku mbili kuanzia leo katika jiji la Dar es Salaam na mji wa Bagamoyo, kutokana na kuzimwa kwa mtambo.

 

11 years ago

GPL

KAMERA YETU IMETEMBELEA MAENEO MBALIMBALI YA JIJI

Eneo la kutunzia vifaa.
Chemba ya maji.
Chemba eneo la Morocco.…

 

10 years ago

GPL

WAMAREKANI WAKARIBISHWA KUWEKEZANCHINI KATIKA MAENEO MBALIMBALI‏

 Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Rajabu Gamaha.   Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Rajabu Gamaha akisalimiana na Balozi wa Heshima kutoka Michigan Marekani ambaye pia ni Rais wa Taasisi ya  Sumake Global Partiner, Robert Shumake  ambaye aliongozana na ujumbe wa Marekani wa watu 10 na kufanya nao mazungumzo Dar es Salaam...

 

10 years ago

Michuzi

Uchaguzi Serikali za Mitaa katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam

 Mkazi wa karikoo Mashariki  Kata ya Kariakoo Bw. Fumbuka Ditopile akipiga kura katika kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msingi Lumumba ,kwa ajili ya kuchagua viongozi wa Serikali za mitaa Mitaa akiwemo  Mwenyekiti  na Wajumbe leo jijini Dar es Salaam.

 Mkazi wa karikoo Mashariki  Kata ya Kariakoo akipiga kura katika kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msingi Lumumba  Msimamizi wa upigaji kura, Mwalimu Lucy Buzuka akitoa maelekezo kwa wapiga kura wa Kariakoo Mashariki, Kata ya Kariakoo...

 

5 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA KIGOMA APIGA MARUFUKU WATOTO KUUZA BIASHARA MAENEO MBALIMBALI


Na Editha Karlo-Michuzi Blog,Kigoma.
MKUU wa mkoa Kigoma Emanuel Maganga amepiga marufuku kwa wanafunzi na watoto kutumika kuuza bidhaa kwenye masoko na maeneo ya biashara na badala yake wazazi watekeleze agizo la serikali la watoto na wanafunzi hao kukaa nyumbani.

Akizungumza leo wakati akifanya Ziara kwenye masoko ya Buzebazeba Ujiji, Mwanga na Kibirizi kukagua utekelezaji wa agizo la serikali kujilinda dhidi ya virus vya Corona alisema kuwa watoto watakaokuwepo wakiuza kwenye masoko wazazi...

 

9 years ago

Michuzi

WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KUPIGA MAENEO MBALIMBALI YA KATA YA KIJITONYAMA JIJINI DAR

 Wasimamizi wa uchaguzi wakiendelea kuwahudumia wananchi waliofika katika kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kijitonyama leo jijini Dar kwa ajili ya kupiga kura.
Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja BlogMmoja wa wazee akisaidiwa na mtu wake wa karibu ili kupiga kura katika kituo cha Chuo cha Ustawi wa Jamii  jijini Dar leo.
Mlemavu akisaidiwa na mtu wa karibu alipofika katika kituo cha Kenton kwa ajili ya kupiga kura    Wananchi wakiwa wamejipanga foleni kwa ajili ya kupiga kura katika kituo...

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII WAFANYA USAFI MAENEO MBALIMBALI JIJINI DAR ES SALAAM

Mvuvi Waziri Mfaume ambaye ni mkazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam alikutwa na mpiga picha leo akishimba shimo kwa ajili ya kuhifadhia uchafu kandokando ya barabara ya Barrack Obama ambayo zamani ilifahamika kwa jina la barabara ya bahari (Ocean Road). Anayeonekana akifagia eneo hilo ni Mama Chiku Hamadi Mkazi wa Mwananyamala. Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wakifanya usafi wa mazingira leo katika soko la samaki la Feri ikiwa ni kutekeleza agizo la Mhe. Rais...

 

5 years ago

Michuzi

Manispaa ya Ubungo yachukua tahadhari ya Virusi vya Corona kwa kupuliza dawa maeneo mbalimbali

Na Chalila Kibuda, Michuzi TV.

Manispaa ya Ubungo  imesema kuwa iko katika mkakati wa  upuliziaji dawa katika maeneo ya mbalimbali ikiwemo na sehemu za huduma za kijamii.

Akizungumza na Michuzi TV Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic Swai amesema kuwa mkakati huo ni kuchukua tahadhari ya kujikinga na Virusi vya Corona.

Swai amesema kuwa katika  kipindi chote hiki wananchi wazinagatie usafi wa kunawa mikono katika sehemu za huduma za Jamii kwani vifaa wameweka wameweka.

Amesema ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wananchi wajitokeza kwa wingi kupiga kura maeneo mbalimbali ya Kata ya Kijitonyama jijini Dar

 

Wasimamizi wa uchaguzi wakiendelea kuwahudumia wananchi waliofika katika kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kijitonyama leo jijini Dar kwa ajili ya kupiga kura.(Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog).

Mmoja wa wazee akisaidiwa na mtu wake wa karibu ili kupiga kura katika kituo cha Chuo cha Ustawi wa Jamii  jijini Dar leo.

Mlemavu akisaidiwa na mtu wa karibu alipofika katika kituo cha Kenton kwa ajili ya kupiga kura.

Mmoja wa wananchi akiwa kwenye sehemu ya kupigia kura...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani