Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Manispaa ya Ubungo yachukua tahadhari ya Virusi vya Corona kwa kupuliza dawa maeneo mbalimbali

Na Chalila Kibuda, Michuzi TV.

Manispaa ya Ubungo  imesema kuwa iko katika mkakati wa  upuliziaji dawa katika maeneo ya mbalimbali ikiwemo na sehemu za huduma za kijamii.

Akizungumza na Michuzi TV Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic Swai amesema kuwa mkakati huo ni kuchukua tahadhari ya kujikinga na Virusi vya Corona.

Swai amesema kuwa katika  kipindi chote hiki wananchi wazinagatie usafi wa kunawa mikono katika sehemu za huduma za Jamii kwani vifaa wameweka wameweka.

Amesema ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TUNAANZA RASMI ZOEZI LA KUPULIZA DAWA YA KUUA WADUDU NA KUENEA KWA VIRUSI VYA CORONA KESHO-RC MAKONDA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda amesema mkoa huo utaanza rasmi kesho zoezi la kupuliza dawa ya kuua vijidudu na kudhibiti kuenea kwa Virusi vya Corona katika maeneo mbalimbali ya Jiji hilo ambapo amewataka wananchi wasiwe na hofu pindi wanapoona magari yanapita mitaani kupuliza dawa.
RC Makonda amesema kwa kufanya hivyo  itasaidia pia kuua Vimelea na Wadudu kama Mbu wanaoenzeza ugonjwa wa Malaria, homa ya dengu na magonjwa mengineyo na kufanya jiji hilo kuwa katika hali nzuri...

 

5 years ago

Michuzi

ARUSHA YAZINDUA ZOAEZI LA KUPULIZA DAWA KUUWA VIJIDUDU NA KUWAKINGA ABIRIA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA


Na Jusline Marco;Arusha

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe.Gabriel Daqarro amezindua zoezi la upulizaji wa dawa ya kuuwa vijidudu kwa lengo la kuwakinga abiria na maambukizi ya virusi vya Corona pindi wanapotumia vyombo vya usafiri.

Zoezi hilo limezinduliwa leo rasmi kwa mabasi yanayotoka Jiji la Arusha kuelekea mikoa mingine , pamoja na vyombo vingine vya usafiri wa umma vinavyotumika katika safari za ndani ya Jiji la Arusha.

Mhe.Gabriel Daqaro amesema kuwa operesheni hiyo ya upulizaji wa dawa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je, Madagascar wamepata dawa ya mitishamba kutibu virusi vya corona?

Rais wa Madagasca ametangaza dawa ya kunywa ya mitishamba inayotokana na mmea wa pakanga pamoja na mimea mingine inayoweza kutibu maambukizi ya virusi vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Marekani yarekodi vifo vingi zaidi vya virusi vya corona kwa siku

Marekani imerekodi vifo vingi vya ugonjwa wa virusi vya corona kwa siku huku watu 1,736 wakifariki siku ya Jumanne.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Dawa ya Covid-19 inayolenga kukabiliana na kuganda kwa damu

Wanasayansi wa Imperial College London wanaamini kwamba matatizo ya homoni huenda kunachangia kuganda kwa damu kwa wagonjwa wa Covid-19.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Marekani yaidhinisha matumizi ya dawa ya virusi ya Remdesivir

Mamlaka ya dawa na chakula nchini Marekani (FDA) imetoa ruhusa ya dharura ya dawa ya Ebola inayofahamika ama 'remdesivir' kutumika kuwatibu wagonjwa wenye virusi vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Uingereza imeruhusu matumizi ya dawa ya kukabiliana na virusi ya remdesivir

Dawa ya Remdesivir ilikuwa imevumbuliwa kukabiliana na virusi vya Ebola.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: ''Dawa'' ya Madagascar inayoaminiwa kutibu virusi itachunguzwa zaidi

Baada ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Paramagamba Kabudi kwenda Madagascar kuichukua dawa ya mititishamba inayoaminiwa kuwa inaweza kukinga na kutibu Covid-19, Tanzania imesema dawa hiyo itachunguzwa zaidi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani