Mathias Eugen Mnyampala
Mtahias Eugen Mnyampala Mathias Eugen Mnyampala alizaliwa tarehe 18/11/1917 katika Kitongoji cha Muntundya, Ihumwa Wilaya ya Chamwino Mkoa wa Dodoma na kufariki dunia tarehe 8/6/1969. Ni mwandishi na mshairi maarufu wa Kiswahili, mwanaharakati wa kisiasa, mwanasheria na mwanahistoria.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Mathias Mnyampala -2
10 years ago
Mwananchi07 Sep
Mathias Mnyampala
10 years ago
Mwananchi10 Sep
Mathias Mnyampala (1)
10 years ago
AllAfrica.Com03 Jun
Tears As MP Eugen Mwaiposa Dies
AllAfrica.com
Dodoma — SHOCK and silence dominated the National Assembly on Tuesday as Deputy Speaker Job Ndugai announced the death of Ukonga Member of Parliament Ms Eugen Mwaiposa, which occurred at her Chadulu residence in this municipality.
10 years ago
MichuziBUNGE LAAHIRISHWA KUFUATIA KIFO CHA MBUNGE WA UKONGA EUGEN MWAIPOSA
10 years ago
Dewji Blog03 Jun
Shughuli ya kuaga mwili wa Mhe. Eugen Mwaiposa aliyekuwa Mbunge wa Ukonga
Mwili wa marehemu Mhe. Eugen Mwaiposa aliyekuwa mbunge wa Ukonga ukiwasili kwenye viwanja vya bunge leo mjini Dodoma kwa ajili ya kuagwa.
Wabunge Mhe. Anna Abdalla (kushoto) na Mhe. Ester Bulaya wakiaga mwili wa marehemu Mhe. Eugen Mwaiposa aliyekuwa mbunge wa Ukonga kwenye viwanja vya bunge leo mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge Wanawake Mhe. Anna Abdallah akimfariji mume wa marehemu Mhe. Eugen Mwaiposa mbunge wa Ukonga aliyefariki usiku wa kuamkia Juni 2 nyumbani kwake...
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Vijimambo04 Jun
MWILI WA MHE. EUGEN MWAIPOSA ALIYEKUWA MBUNGE WA UKONGA WAAGWA MJINI DODOMA



10 years ago
Vijimambo