Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mathias Mnyampala (1)

Katika makala ya mwisho kuhusu Mathias Mnyampala niligusia juu ya mchango wake katika lugha ya Kiswahili kwa kuandika vitabu mbalimbali na pia kutunga mashairi. Baadhi ya mashairi yake yaligusia juu ya mazingira ya kawaida ya watu lakini pia kwa kuvichambua vitabu Vitakatifu vya Biblia na Korani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mathias Mnyampala -2

Katika makala ya mwisho kuhusu Mathias Mnyampala niligusia juu ya mchango wake katika lugha ya Kiswahili kwa kuandika vitabu mbalimbali na pia kutunga mashairi. Baadhi ya mashairi yake yaligusia juu ya mazingira ya kawaida ya watu lakini pia kwa kuvichambua vitabu Vitakatifu vya Biblia na Korani.

 

10 years ago

Mwananchi

Mathias Mnyampala

Katika makala ya mwisho kuhusu Mathias Mnyampala niligusia juu ya mchango wake katika lugha ya Kiswahili kwa kuandika vitabu mbalimbali na pia kutunga mashairi. Baadhi ya mashairi yake yaligusia juu ya mazingira ya kawaida ya watu lakini pia kwa kuvichambua vitabu Vitakatifu vya Biblia na Korani.  Ametoa maelezo marefu kuhusu dini ya Kikristo hasa kwa upande wa Injili kutokana na kuwa alikuwa muumini wa madhehebu hayo. Kwa upande wa maelezo kuhusu dini ya Kiislamu alisema katika kitabu...

 

10 years ago

Mwananchi

Mathias Eugen Mnyampala

Mtahias Eugen Mnyampala Mathias Eugen Mnyampala alizaliwa  tarehe 18/11/1917 katika Kitongoji cha Muntundya, Ihumwa Wilaya ya Chamwino Mkoa wa Dodoma na kufariki dunia tarehe 8/6/1969. Ni mwandishi na mshairi maarufu wa Kiswahili, mwanaharakati wa kisiasa, mwanasheria  na mwanahistoria.

 

11 years ago

IPPmedia

Minister for Home Affairs, Mathias Chikawe


IPPmedia
Minister for Home Affairs, Mathias Chikawe
IPPmedia
Members of Parliament yesterday took to task the Minister for Home Affairs Mathias Chikawe over poor and still deteriorating conditions in the country's prisons. The MPs, debating the 2014/2015 budget, said prisoners still face years of confinement in ...

 

10 years ago

IPPmedia

Home Affairs minister, Mathias Chikawe (Right)


IPPmedia
Home Affairs minister, Mathias Chikawe (Right)
IPPmedia
The government has formed a four –member task force to investigate factors behind atrocities targeting people with albinism. The team includes officials from the Ministry of Home Affairs and Tanzania Albino Society (TAS). The team will also review rulings on ...
Tanzania bans witchdoctors over albino attacksBBC News
Tanzania outlaws witch medical doctorsLauderdale Daily News

all 9

 

11 years ago

IPPmedia

Home Affairs minister, Mathias Chikawe


IPPmedia
Home Affairs minister, Mathias Chikawe
IPPmedia
Jobs of 200 new employees of the Immigration Department who were expected to report on duty on August 6 have been put on hold, pending investigations on how the recruits secured the posts. Home Affairs minister Mathias Chikawe made the decision ...

 

11 years ago

Mwananchi

Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Mathias Chikawe

Umefanya mambo gani katika kuinua sekta ya elimu tangu uingie madarakani 2005 hadi sasa? Jibu: Wakati naingia madarakani mwaka 2005 shule za sekondari zilikuwa sita lakini sasa zipo 19. Nimejenga bweni moja shule maalumu ya wasichana wanalala wanafunzi 45.

 

11 years ago

Michuzi

RAIS SHEIN AZUNGUMZA NA WAZIRI MATHIAS CHIKAWE IKULU ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akimkaribisha ofisini kwake Ikulu mjini Zanzibar, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe. Waziri Chikawe alifika ofisini hapo kwa lengo la kujitambulisha kwa Rais huyo baada ya kuteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Viongozi hao pia walijadiliana masuala mbalimbali ya kuimarisha ulinzi na usalama wa Tanzania Bara na Visiwani. Katikati ni Naibu Waziri wa wizara hiyo, Pereira Ame...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani