Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tears As MP Eugen Mwaiposa Dies


Tears As MP Eugen Mwaiposa Dies
AllAfrica.com
Dodoma — SHOCK and silence dominated the National Assembly on Tuesday as Deputy Speaker Job Ndugai announced the death of Ukonga Member of Parliament Ms Eugen Mwaiposa, which occurred at her Chadulu residence in this municipality.

AllAfrica.com

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BUNGE LAAHIRISHWA KUFUATIA KIFO CHA MBUNGE WA UKONGA EUGEN MWAIPOSA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Mhe. Jenista Mhagama (mwenye nguo nyekundu) akimfariji Mwenyekiti wa Bunge Bi. Lediana Mng’ong’o mara baada ya bunge kuahirishwa kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Ukonga Bi. Eugen Mwaiposa. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora Bi. Mary Nagu na kushoto ni wabunge James Mbatia na Goodluck Ole Medeye.Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Anjela Kairuki (kushoto) akitoka nje ya ukumbi wa bunge akiwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shughuli ya kuaga mwili wa Mhe. Eugen Mwaiposa aliyekuwa Mbunge wa Ukonga

6

Mwili wa marehemu  Mhe. Eugen Mwaiposa aliyekuwa mbunge wa Ukonga ukiwasili kwenye viwanja vya bunge leo mjini Dodoma kwa ajili ya kuagwa.

12

Wabunge Mhe. Anna Abdalla (kushoto) na Mhe. Ester Bulaya wakiaga mwili wa  marehemu Mhe. Eugen Mwaiposa aliyekuwa mbunge wa Ukonga kwenye viwanja vya bunge leo mjini Dodoma.

4

Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge Wanawake Mhe. Anna Abdallah akimfariji mume wa marehemu Mhe. Eugen Mwaiposa mbunge wa Ukonga aliyefariki usiku wa kuamkia Juni 2 nyumbani kwake...

 

10 years ago

Vijimambo

MWILI WA MHE. EUGEN MWAIPOSA ALIYEKUWA MBUNGE WA UKONGA WAAGWA MJINI DODOMA

6Mwili wa marehemu Mhe. Eugen Mwaiposa aliyekuwa mbunge wa Ukonga ukiwasili kwenye viwanja vya bunge jana mjini Dodoma kwa ajili ya kuagwa.12Wabunge Mhe. Anna Abdalla (kushoto) na Mhe. Ester Bulaya wakiaga mwili wa marehemu Mhe. Eugen Mwaiposa aliyekuwa mbunge wa Ukonga kwenye viwanja vya bunge jana mjini Dodoma.4Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge Wanawake Mhe. Anna Abdallah akimfariji mume wa marehemu Mhe. Eugen Mwaiposa mbunge wa Ukonga aliyefariki usiku wa kuamkia Juni 2 nyumbani kwake mjini...

 

11 years ago

Michuzi

Mbunge wa jimbo la Ukonga Eugen Mwaiposa akabidhi kombe kwa washindi wa shindano la Airtel Rising Stars

  Mbunge wa jimbo la Ukonga Eugen Mwaiposa akimkabidhi kombe la ubingwa nahodha wa timu ya Ilala Academy Maisala Adam baada ya timu hiyo kuibuka mabingwa wa Airtel Rising Stars mkoa wa kisoka wa Ilala juzi. Mbunge wa jimbo la Ukonga Eugen Mwaiposa akimkabidhi kombe la ubingwa nahodha wa timu ya Temeke All Stars Maulid Jamal baada ya timu hiyo kuibuka mabingwa wa Airtel Rising Stars mkoa wa kisoka wa Temeke juzi.

 Mbunge wa jimbo la Ukonga Eugen Mwaiposa akimkabidhi kombe la ubingwa nahodha...

 

10 years ago

Vijimambo

MWILI WA MAREHEMU EUGEN ELISHIRINGA MWAIPOSA KUAGWA LEO KATIKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA

 
Marehemu EUGEN ELISHIRINGA  MWAIPOSA
TANZIA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anasikitika kutangaza kifo cha Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam, Mhe. EUGEN ELISHIRINGA  MWAIPOSA  kilichotokea usiku wa kuamkia tarehe 2 June 2015 nyumbani kwake Dodoma ambako amekuwepo kushiriki Mkutano wa Bunge la Bajeti.
Mwili wa Marehemu unaagwa leo tarehe 3 Juni 2015 kuanzia saa 4 asubuhi katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma, na baadaye mwili kupelekwa nyumbani kwake Ukonga, Dar es...

 

10 years ago

Mwananchi

Mathias Eugen Mnyampala

Mtahias Eugen Mnyampala Mathias Eugen Mnyampala alizaliwa  tarehe 18/11/1917 katika Kitongoji cha Muntundya, Ihumwa Wilaya ya Chamwino Mkoa wa Dodoma na kufariki dunia tarehe 8/6/1969. Ni mwandishi na mshairi maarufu wa Kiswahili, mwanaharakati wa kisiasa, mwanasheria  na mwanahistoria.

 

10 years ago

Mtanzania

Wabunge wamuaga Mwaiposa

NA ARODIA PETER, DODOMA
VILIO na simanzi jana vilitawala katika viwanja vya Bunge mjini hapa wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Ukonga, Eugen Mwaiposa (CCM).
Mwaiposa (55) alifariki dunia juzi mjini hapa akiwa usingizini nyumbani kwake eneo la Chadulu na chanzo cha kifo hicho kimeelezwa kuwa ni shinikizo la damu.
Shughuli za kuaga mwili huo ziliongozwa na Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai pamoja na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Waziri Mkuu za zamani, Edward Lowassa, Katibu Mkuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani