Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matokeo kidato cha IV: Shule za Serikali, Seminari, vipaji maalumu zaporomoka

Idadi ya watahiniwa waliofaulu mtihani wa kidato cha nne mwaka jana imeongezea kwa asilimia 10.8 huku shule za serikali za vipaji maalumu, kongwe na seminari  zikiendelea kuporomoka na mwanafunzi wa kike kutoka Shule ya Sekondari ya Baobab mkoani Pwani, Nyakaho Marungu akiongoza Kitaifa. 

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Shule binafsi zatesa matokeo kidato cha nne

 Ufaulu katika matokeo ya mtihani wa kidato cha nne umeongezeka kwa asilimia 10, chini kidogo ya viwango vya Matokeo Makubwa Sasa (BRN), lakini shule za Serikali za vipaji maalumu, kongwe na za seminari zimeendelea kuporomoka.

 

10 years ago

Mwananchi

Simulizi za kusisimua shule zilizotamba matokeo kidato cha nne

>Ni mafanikio juu ya mafanikio. Ndivyo unavyoweza kuelezea matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kwa baadhi ya shule zilizofanya vizuri katika matokeo ya kidato cha nne juzi.

 

11 years ago

Michuzi

SHULE YA SEKONDARI IWAWA WILAYANI MAKETE YATOA SIRI YA KUFANYA VIZURI MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014

Makamu mkuu wa shule ya sekondari Iwawa Fadhili Dononda akizungumza na mwandishi wetu ofisini kwake hii leo.
Na Edwin Moshi, MaketeIkiwa zimepita siku chache tangu kutangazwa matokeo ya kidato cha sita mwaka huu, shule ya sekondari Iwawa iliyoko wilayani Makete mkoani Njombe imetoa siri ya mafanikio ya wanafunzi wake kufaulu na kushika nafasi ya nne kitaifa.  Akizungumza na mwandishi wetu ofisini kwake Makamu mkuu wa shule hiyo Mwl. Fadhili Dononda amesema miongoni mwa sababu hizo ni pamoja...

 

10 years ago

Michuzi

SHULE ZA BINAFSI ZAONGOZA MATOKEO YA MTIHANI WA UTIMILIFU (MOCK) KWA WANAFUNZI WANAOSOMA KIDATO CHA NNE JIJINI DAR

 Afisa Elimu wa Mkoa wa Dar es salaam Bw.Raymond Mapunda akitoa matokeo ya mtihani wa Utimilifu kwa wanafunzi wa shule za Sekondari jijini Dar es salaam ambapo katika mtihani huo uliofanyika Mei 25 hadi Juni 12 mwaka huu shule Binafsi zimeongoza kwa ufaulu.
Na Aron Msigwa -MAELEZO.MATOKEO  ya mtihani wa Utimilifu kwa wanafunzi wanaosoma kidato cha nne katika shule za  Sekondari za jiji la Dare es  salaam yametolewa leo jijini Dar es salaam yakiwa na alama za juu  za ufaulu kwa wanafunzi...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Turudishieni shule zetu za vipaji maalumu

MWISHONI mwa miaka ya 1990 kulikuwa na utaratibu wa kupeleka wanafunzi katika shule zenye vipaji maalumu ili kuwapika zaidi katika fani mbalimbali kama sayansi, biashara na hisabati.

Shule zilizoogopwa ilikuwa ni Ilboru (Arusha), Tanga Technical (Tanga), Mzumbe (Morogoro), Kibaha (Pwani), Tabora Wavulana na Tabora Wasichana (Tabora), Kilakala Wasichana (Morogoro) na nyingine nyingi nilizizisahau hapa.

Wanafunzi waliopelekwa na kumaliza katika shule hizo walionekana makini, baadhi...

 

11 years ago

Mwananchi

Nini kimezisibu shule kongwe na za vipaji maalumu?

Hali bado ni taabani kwa shule kongwe za Serikali, zikiwemo zile zinazoelezwa kuwa ni kwa ajili ya wanafunzi wenye vipaji maalumu.

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI YAFUNGA SHULE ZA AWALI HADI KIDATO CHA SITA KWA SIKU 30 KUIHAMI NCHI NA CORONA, YAFUNGA PIA MIKUSANYIKO YA SIASA NA MICHEZO



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana kuhusu hatua za awali zilizochukuliwa na Serikali kutokana na kuwepo nchini virusi vya ugonjwa wa Corona. 





DAR ES SALAAM, Tanzania
Serikali imezifunga shule za awali hadi kidato cha sita kwa siku 30 na pia kuzuia mikusanyiko yoyote ikiwemo ya siasa na michezo ili kuihami nchi na ugonjwa wa Corona ambao umethibishwa kuingia nchini kufuatia kupatikana kwa mgonjwa mmoja wa ugonjwa huo hapa nchini.

Hatua hizo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Matokeo kidato cha 6 Tanzania

Kwa mujibu wa bodi ya mitihani wanafunzi mwaka huu wamefanya vyema ikilinganishwa na mwaka jana. Je ni kiini macho?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani