Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matokeo ya NBAA yatangazwa

mbaga

Mkurugenzi Mtendaji Bodi NBAA Bw. Pius Maneno.

Na Nyakongo Manyama-Maelezo

Jumla ya watahiniwa 813 ambao ni sawa na asilimia 14.3 wamefaulu mitihani ya Bodi ya Taifa ya Wasahibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) na uliofanyika Novemba 2015 kote nchini.

Katika matokeo hayo, wahitimu wengine 1867 ambao ni sawa na asilimia 32.9 wamefaulu baadhi ya masomo katika ngazi mbalimbali kati ya watahiniwa 6404 waliosajiliwa katika mitihani iliyofanyika novemba mwaka huu.

Hayo yamesemwa na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Matokeo ya uchaguzi yatangazwa Malawi

Hatimaye Tume ya uchaguzi nchini Malawi imeanza kutoa matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika nchini humo jumanne iliyopita.

 

11 years ago

Michuzi

MATOKEO KIDATO CHA NNE YATANGAZWA LEO

Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani  la Tanzania,  Dk. Charles Msonde, akitangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT), Dar es Salaam leo. Kushoto ni Kaimu Naibu Katibu Mtendaji wa  baraza hilo, Edward Haule. (PICHA NA KHAMIS MUSSA) Kupata matokeo ingia kwenye tovuti ya NECTA ya:  http://www.necta.go.tz/index.php  Kisha bofya sehemu ilioandikwa MATOKEO YA CSEE 2013 & MATOKEO YA QT 2013 Upande wa juu  kulia pembeni mwa...

 

11 years ago

GPL

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014 YATANGAZWA

Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 – 21, yametoka.
Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825
Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54
Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.
SHULE 10 ZILIZOONGOZA
1. Igowole
2. Feza...

 

10 years ago

Mwananchi

Matokeo kidato cha sita yatangazwa, ufaulu waongezeka

>Baraza la Mitihani nchini Necta leo limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na kusema kuwa umefaulu umeongezeka kwa asilimia 0.61.

 

11 years ago

Dewji Blog

Matokeo ya Mitihani ya Ualimu iliyofanyika Mei 2014 yatangazwa rasmi

baraza la mitihani

Kaimu Katibu Mkuu wa baraza la Taifa la Mitihani, Dk. Charles E. Msonde akisoma matokeo hayo ya mitihani ya Ualimu kwa mitihani iliyofanyika mwaka huu nchini kote. 

Matokeo ya Mitihani ya Mei 2014 yanapatikana katika Tovuti zifuatazo:

www.matokeo.necta.go.tz, www.necta.go.tz   au  www.moe.go.tz  na www.pmoralg.go.tz

Press Release Ualimu Template 2014

 

10 years ago

Dewji Blog

Matokeo ya kidato cha nne yatangazwa, Sekondari ya Kaizirege yaongoza..List kamili iko hapa

Dr-Charles-Msonde

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani nchini,Dk. Charles Msonde.

Ufaulu Kidato cha Nne 2014 wapanda kwa asilimia 10

Jumla ya Watahiniwa 196,805 sawa na 68.33% ya watahiniwa wote waliofanya mtihani kidato cha IV mwaka 2014 wamefaulu ikiwa ni ongezeko la 10.08% kulinganisha na mwaka 2013 ambapo wanafunzi 235,227 sawa na 58.25 walifualu.

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa Dkt Charles Msonde
Jumla ya Watahiniwa 196,805 sawa na 68.33% ya watahiniwa wote waliofanya mtihani kidato cha...

 

11 years ago

Dewji Blog

Maafali ya 36 ya NBAA yafana

Pix 1

Baadhi ya wahitimu wa NBAA wakiwa katika maandamano ya kitaaluma wakati wa maafali ya 36 yaliyofanyika katika kituo cha NBAA Mbweni jijini Dar es Salaam jana ambapo jumla ya wahitimu 855 walipata Degrii ya juu ya uhasibu (CPA) na wahitimu 82 walitunukiwa cheti cha utunzaji wa hesabu (ATEC.)

Pix 3

Mgeni rasmi ambaye pia ni Naibu Waziri wa Viwanda  Mhe. Janeth Mbene akiongea na wahitimu (hawapo pichani) wakati wa maafali ya 36 yaliyofanyika katika kituo cha NBAA Mbweni jijini Dar es Salaam jana.

Pix 2

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani