Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matukio 10 yaliyotingisha Twitter 2015

Mwaka 2015, kama ilivyo miaka mingine yote iliyotangulia, uligubikwa na matukio mengi ambayo yaligeuka gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii, hasa Twitter na kutengenezewa hashtags (#) zilizopata wafuasi wengi zaidi.
Yafuatayo ni matukio 10 yaliyotingisha zaidi na kufuatiliwa na watu wengi kwenye Mtandao wa Twitter, kuanzia Januari mpaka Desemba.
1. SHAMBULIO LA CHARLIE HEBDO, UFARANSA
Mapema Januari, mwaka huu, watu wanaodhaniwa kuwa ni magaidi wenye msimamo mkali, walivamia ofisi za Gazeti...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Majimbo 10 yaliyotingisha uchaguzi Mkuu 2015

Hatimaye wababe wamepatikana katika majimbo 10 ya uchaguzi yaliyokuwa na ushindani mkali, hasa kati ya vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na CCM.

 

5 years ago

Quartz

Elliott Management to oust Twitter CEO Jack Dorsey? Twitter reacts

Elliott Management to oust Twitter CEO Jack Dorsey? Twitter reacts  QuartzRepublican mega-donor buys stake in Twitter and seeks to oust Jack Dorsey – report  The GuardianNew Twitter Investor May Remove Bitcoin Advocate Jack Dorsey as CEO - CoinDesk  CoinDeskElliott looks to remove Jack Dorsey as Twitter chief executive  Financial TimesJack Dorsey: Billionaire Investor ‘Wants to Oust Twitter CEO’ Over His Planned Move to Africa  Sputnik InternationalView Full coverage on Google...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

— Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015-

assalam alaikum ndugu zangu tafadhalini tuwekeni hapa matokeo ya vituo na majimbo yetu kwenye comment chini hapo, tujaribu kuwa na ufasaha na kuwa na taarifa kamili kabla ya kuweka,ili tuwajuze ndungu zetu walio nje ya nchi […]

The post – Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015- appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wayakumbuka matukio makuu Afrika 2015?

Jipime uwezo wako wa kukumbuka matukio makuu Afrika mwaka 2015 kwa kujibu maswali haya mafupi kuhusu matukio 12 yaliyotawala vichwa vya habari mwaka huu.

 

9 years ago

Global Publishers

9 years ago

Global Publishers

Baadhi ya Matukio ya Kukumbukwa kwa Mwaka 2015

1.Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dk.Jakaya Kikwwete akisalimiana na Rais wa Uganda , Yoweri Mseven baada ya kumaliza mda wake.Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais wa Uganda, Paul Kagame baada ya kumaliza muda wake.2.Mama Salma Kikwete (katikati) akisalimiana na mmewe,Dk.Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kuachia kijiti cha uraisiMama Salma Kikwete (katikati) akisalimiana na mumewe, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete  mara baada ya kuachia kijiti cha uraisi3.Jeshi la ulinzi la Tanzania lilivyopendeza siku hiyo ya Novemba 5,2015.Jeshi la ulinzi la Tanzania lilivyopendeza siku ya kuapishwa kwa Rais Magufuli Novemba 5, 2015.4.Tukio la maji kuja daraja la jangwani kipindi cha mvua mwezi Februari 2015.Tukio la maji kujaa katika daraja la Jangwani kipindi cha mvua mwezi Februari 2015.

5.Raisi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Dk. John Pombe Magufuli alivyoapishwa.Raisi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe...

 

9 years ago

Michuzi

Video ya Matukio ya mwaka 2015 katika Umoja wa Mataifa

2015 – mwaka uliosheheni matukio ya aina yake na picha za kutisha: Maiti ya mtoto mdogo wa kiume akisombwa hadi ufukweni, kiashiria cha janga la wakimbizi Milioni 60: wananchi wa Paris, Beirut na Nairobi wakikmbia mashambulizi ya kigaidi, na nchi zilizosalia magofu kutokana na mapigano yasiyoisha. 
Matukio ya mwaka 2015, yanakumbusha changamoto ambazo Umoja wa Mataifa umekumbana nazo katika miaka 70 ya tangu kuanzishwa kwake- lakini yanatupatia muhtasari wa mafanikio yatokanayo na...

 

9 years ago

Michuzi

MATUKIO MAKUBWA YA MUZIKI WA DANSI NCHINI KWA MWAKA 2015

BENDI MPYA•Tarehe 31-Jan-2015, BMM Classic Band, ilizinduliwa katika ukumbi wa BMM Mwenge, opposite TRA.•Tarehe 21-Feb-2015,  JJ Band yazinduliwa katika ukumbi wa. JJ Band ni bendi dada ya Skylight Band itakayokuwa inatumbuiza mjini Mwanza katika hotel ya Jembe ni Jembe Resort. •Tarehe 06-Mar-2015 (Ijumaa), Ruby Band ilitambulishwa rasmi katika ukumbi wa Coco Beach Pub ambapo pia ilizindua video ya wimbo mpya wa “Noma”.•Tarehe 18-Jul-2015 (Jumamosi), Stars Band yazinduliwa katika ukumbi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani