— Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015-
assalam alaikum ndugu zangu tafadhalini tuwekeni hapa matokeo ya vituo na majimbo yetu kwenye comment chini hapo, tujaribu kuwa na ufasaha na kuwa na taarifa kamili kabla ya kuweka,ili tuwajuze ndungu zetu walio nje ya nchi […]
The post – Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015- appeared first on Mzalendo.net.
Mzalendo Zanzibar
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog13 Sep
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu aitembelea NEC kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, 2015
Naibu Katibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkuu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Dk. Sisti Chriati akimpatia maelezo Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Frolence Turuka akimpatia maelekezo juu ya NEC inavyoweza kutunza kumbukumbu za wananchi mapema jana alipoitembelea kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ambapo alishuhudia vifaa mbalimbali vya Uchaguzi vikiwasili na Kupokelewa katika ofisi ya NEC kitengo cha Daftari Bohari Kuu jijini Dar es Salaam.
Vifaa mbalimbali...
10 years ago
Michuzi
KUTANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusu utangazaji wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu kwa vyombo vya utangazaji kwa mujibu wa Kanuni za Huduma za Utangazaji (Maudhui) (Utangazaji wa Uchaguzi wa Vyama vya Siasa), 2015. Kanuni hizi zipo kwa mujibu wa Sheria kama ilivyotolewa na Gazeti la Serikali la Tarehe 26 Juni, 2015. Kanuni hizi zinalenga kuweka utaratibu mzuri wa...
10 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU BW. FROLENCE TURUKA AITEMBELEA NEC KUONA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25, 2015


10 years ago
Habarileo24 Aug
Maalim Seif: Nitaheshimu matokeo uchaguzi mkuu
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amechukua fomu ya kuwania nafasi ya urais wa Zanzibar, huku akisema endapo akishindwa kuibuka mshindi, ataheshimu matokeo na kumpongeza atakayeshinda.
10 years ago
Dewji Blog29 Oct
Tulinde Amani tunapoendelea kupokea matokeo ya Uchaguzi Mkuu

Ndugu watanzania wenzetu, tunapenda kuwapongeza kwa kumaliza mchakato wa kampeni za vyama vya siasa na wagombea kwa amani na utulivu. Vile vile tunawapongeza kwa kupiga kura kwa kwa amani na utulivu, kwani pamoja na kujitokeza kwa wingi tulipiga kura kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi ukiachilia mbali kasoro ndogo ndogo zilizojitokeza katika zoezi hilo.
Ndugu watanzania wenzetu, tangu juzi jumapili 25 Oktoba tulianza kupokea matokeo. Hiyo ni hatua muhimu sana kwa taifa...
10 years ago
Dewji Blog23 Sep
Twaweza yatoa matokeo ya utafiti juu ya Uchaguzi nchini 2015
Mkurugenzi Mtendaji wa Twaweza Bw. Aidan Eyakuze.(Picha na Maktaba).
Na Ally Daud-MAELEZO.
Taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza imetoa matokeo ya utafiti uliyofanywa juu ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu ambapo utafiti huo unaonesha kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndio kinachopendwa na wananchi kuliko chama kingine cha siasa hapa nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wadau mbalimbali jijini Dar es salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Twaweza Bw. Aidan Eyakuze alisema katika utafiti...
10 years ago
GPL
SERIKALI YATAHADHARISHA VYOMBO VYA HABARI NA MATOKEO BATILI YA UCHAGUZI MKUU
10 years ago
Dewji Blog25 Oct
TCRA yatoa angalizo kwa vyombo vya Habari utangazwaji matokeo ya uchaguzi mkuu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya. Mawasiliano Tanzania, (TCRA), Dk. Ally Yahaya Simba.
Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari_ Matokeo Ya Uchaguzi Mkuu 2015
10 years ago
Vijimambo
Hotuba Ya Dr Asha - Rose Migiro Kukubali Matokeo Ya Mkutano Mkuu wa CCM 2015

Dr Migiro alishika nafasi ya tatu katika uchaguzi huo nyuma ya mgombea wa chama Dr John Pombe Magufuli na Balozi Amina Salum Ali