Tulinde Amani tunapoendelea kupokea matokeo ya Uchaguzi Mkuu
Ndugu watanzania wenzetu, tunapenda kuwapongeza kwa kumaliza mchakato wa kampeni za vyama vya siasa na wagombea kwa amani na utulivu. Vile vile tunawapongeza kwa kupiga kura kwa kwa amani na utulivu, kwani pamoja na kujitokeza kwa wingi tulipiga kura kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi ukiachilia mbali kasoro ndogo ndogo zilizojitokeza katika zoezi hilo.
Ndugu watanzania wenzetu, tangu juzi jumapili 25 Oktoba tulianza kupokea matokeo. Hiyo ni hatua muhimu sana kwa taifa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog26 Oct
Modewjiblog: Hongera watanzania kupiga kura kwa amani na utulivu, sasa tujiandae kupokea matokeo!
Na Andrew Chale, Modewjiblog
Jumapili ya Oktoba 25, 2015, Taifa la Tanzania tumeshuhudia wananchi wake wakipiga kura kuwachagua viongozi katika Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge pamoja na kumpata Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Uchaguzi huu wa amani na huru umeweza kufanyika katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania, sasa hatua inayofuata ni ya Mamlaka husika ambao ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC na ZEC) kwa upande wa Zanzibar ambao ndio wenye majukumu ya kutoa...
9 years ago
Mwananchi23 Oct
Tupige kura, tupokee matokeo kwa amani na utulivu, kuna maisha baada ya uchaguzi
9 years ago
VijimamboMKUU WA MKOA WA DODOMA AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUSISITIZA AMANI NA UTULIVU WAKATI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ISR2PcDwDGg/Vi0K63x2gnI/AAAAAAAICso/XWmZmFQy8BQ/s72-c/New%2BPicture.png)
KUTANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU
![](http://4.bp.blogspot.com/-ISR2PcDwDGg/Vi0K63x2gnI/AAAAAAAICso/XWmZmFQy8BQ/s200/New%2BPicture.png)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusu utangazaji wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu kwa vyombo vya utangazaji kwa mujibu wa Kanuni za Huduma za Utangazaji (Maudhui) (Utangazaji wa Uchaguzi wa Vyama vya Siasa), 2015. Kanuni hizi zipo kwa mujibu wa Sheria kama ilivyotolewa na Gazeti la Serikali la Tarehe 26 Juni, 2015. Kanuni hizi zinalenga kuweka utaratibu mzuri wa...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar25 Oct
— Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015-
assalam alaikum ndugu zangu tafadhalini tuwekeni hapa matokeo ya vituo na majimbo yetu kwenye comment chini hapo, tujaribu kuwa na ufasaha na kuwa na taarifa kamili kabla ya kuweka,ili tuwajuze ndungu zetu walio nje ya nchi […]
The post – Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015- appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Habarileo24 Aug
Maalim Seif: Nitaheshimu matokeo uchaguzi mkuu
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amechukua fomu ya kuwania nafasi ya urais wa Zanzibar, huku akisema endapo akishindwa kuibuka mshindi, ataheshimu matokeo na kumpongeza atakayeshinda.
9 years ago
Mwananchi03 Oct
Uchaguzi Mkuu usitupokonye amani yetu
9 years ago
Mwananchi27 Sep
Wasanii waombea amani Uchaguzi Mkuu
9 years ago
Mwananchi20 Oct
Viongozi wa dini wazungumzia amani Uchaguzi Mkuu