MATUKIO YA IYF YANAYOENDELEA MLIMANI CITY DAR
Viongozi wa IYF wakitoa mafunzo ambapo kushoto ni mkalimani wa lugha ya Kiswahili. Washereheshaji wa hafla MCs) wakiwa kazini katika semina hiyo. Kwaya ya Gracias ikitoa burudani.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-k6nw7Ngk8k4/VDmbXqLNEzI/AAAAAAAGpUQ/KqZOFSsAJ5o/s1600/2.jpg)
MATUKIO YA REDDS MISS TANZANIA 2014 MLIMANI CITY DAR
 Pichani ni Washiriki waliochaguliwa kuingia kwenye hatua ya tano bora katika shindano la Redds Miss Tanzania 2014 linaloendelea hivi sasa ndani ya ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar.
Mmoja wa Washiriki waliongia katika nafasi ya tanno bora shindano la Redds Miss Tanzania 2014 wakijibu maswali mbalimbali…
10 years ago
GPLONESHO LA SITES KUFANYIKA MLIMANI CITY, DAR
Meneja Huduma wa Shirika la Ndege la Ethiopia, Dawit Mekonnen (wa pili kushoto) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Kushoto ni Ofisa Mauzo Mkuu wa shirika hilo, Lima Dsilva (kushoto), Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji Bodi ya Utalii Tanzania, Devotha Mdachi (katikati) na Meneja Huduma wa Utalii, Philip Chitaunga.  Viongozi hao wakisikiliza maswali kwa… ...
10 years ago
GPL![](http://i1.wp.com/vibe.co.tz/wp-content/uploads/2014/10/30-Naba-Magambo-from-Ruvuma-21-Vibe.jpg?resize=150%2C150)
MISS TANZANIA KUFANYIKA LEO MLIMANI CITY DAR
 SHINDANO la kumsaka mrembo wa Tanzania linatarajiwa kufanyika leo, ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, ikiwa ni ruhusa kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kutupilia mbali pingamizi la mashindano hayo lililowasilishwa mahakamani na mmoja wa waanzilishi wa Miss Tanzania, Prashant Patel. Shindano hilo litashirikisha warembo zaidi ya 20 ambapo watachuana jukwaani kuwania nafasi ya...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-4Ur4CMJkl18/VHrWkKTEcDI/AAAAAAAG0VU/LK02bAM9ZGw/s72-c/unnamed%2B(27).jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cGEsfZahF3t82z3oMUnnAAmzbblXGJDOiMjpCtpzoU31OPkL4faJfYNUCB3L7sOjbRwFnubJKU09bA8sHvGjt-6-*HTrj3NF/WMIHAd_KISF2.jpg?width=750)
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/IMG_00952.jpg)
RAIS JAKAYA KIKWETE ALIVYOAGWA NA TASWA MLIMANI CITY, DAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete akiingia katika Ukumbi wa Mlimani City tayari kwa hafla ya kumuaga iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (Taswa) jana jijini Dar es Salaam. Mhariri Kiongozi wa Championi, Saleh Ally (katikati) akiteta jambo na mwandishi mkongwe wa habari za michezo, Said Salum (kulia), kushoto ni Baruhan Muhuza wa Azam TV. Rais wa Shirikisho la Soka...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-zeHzHlZO4c4/VCqGroZZ1GI/AAAAAAAGmsc/EjPXATj1MnQ/s72-c/unnamed.jpg)
ONESHO LA S!TE KUFUNGULIWA KESHO JUMATANO MLIMANI CITY,JIJINI DAR
ONESHO la kimataifa la utalii ‘Swahili International Tourism Expo’ (SITE) linaloandaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) linafunguliwa rasmi leo (kesho Jumatano) katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City na litamalizika Jumamosi.
Tayari maandalizi yote kuelekea ufunguzi wa onesho hilo yamekamilika na kwamba watanzania wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuja kujionea vivutio adhimu wa taifa hili.
Shirika la Hifadhi ya Taifa (TANAPA), Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) pamoja na...
Tayari maandalizi yote kuelekea ufunguzi wa onesho hilo yamekamilika na kwamba watanzania wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuja kujionea vivutio adhimu wa taifa hili.
Shirika la Hifadhi ya Taifa (TANAPA), Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) pamoja na...
10 years ago
MichuziAIRTEL SMARTPHONE BAZAAR ILIVYOBAMBA MLIMANI CITY JIJINI DAR
10 years ago
MichuziSIKU YA MSANII KUFANYIKA OKTOBA 25 MLIMANI CITY JIJINI DAR
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania