Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matukio ya uhalifu yaongezeka

MKURUGENZI wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Kamishna Isaya Mungulu, amesema matukio ya uhalifu yaliyoripotiwa mwaka huu ni 66,906. Mungulu alisema hayo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MATUKIO MBALIMBALI YA UHALIFU MKOA WA PWANI

NA MWAMVUA MWINYI, PWANI
JESHI la Polisi mkoani Pwani, kwa kushirikiana na Idara ya Uhamiaji wamefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu 51, raia wa Ethiopia waliokuwa wameingia nchini kupitia bandari bubu ya Makurunge katika wilaya ya Bagamoyo.

Idadi hiyo inafikia wahamiaji haramu 100 baada ya wengine 49 kukamatwa juzi Kidomole, Fukayose.
Kamanda wa polisi mkoani hapa,Wankyo Nyigesa alieleza, raia hao wamekabidhiwa kwa vyombo vya dola kwa taratibu za kisheria .
"Raia hawa wa Ethiopia wamekamatwa...

 

5 years ago

Michuzi

Polisi Arusha wapongezwa kupunguza matukio ya uhalifu

Na Gasto Kwirini wa Jeshi la Polisi Arusha

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amelipongeza Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kwa kufanikiwa kupunguza na kudhibiti matukio ya uhalifu hali ambayo imepelekea shughuli za kiuchumi kufanyika kwa amani hasa utalii.

Alitoa pongezi hizo wakati akifungua kikao kazi kilichohusisha Maafisa wa Polisi pamoja na Polisi Kata 157 toka kata zote za Mkoa wa Arusha ambacho kilikua na lengo la kukumbushana wajibu wa Polisi Kabla, wakati na baada ya uchaguzi.

Amesema...

 

11 years ago

Dewji Blog

Taarifa ya Polisi Arusha ya matukio ya uhalifu na majina ya watuhumiwa wanaopandishwa kizimbani

LiberatusSabas

Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, SACP, Liberatus Sabas.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI JESHI LA POLISI TANZANIA

Ndugu Wanahabari, Mtakumbuka Kuwa Wiki Moja Iliyopita Jeshi La Polisi Lilitoa Taarifa Kwa Umma Juu Ya Watuhumiwa Sita Waliokamatwa Na Kufikishwa Mahakamani Kuhusiana Na Tukio La Mlipuko Wa Bomu Uliotokea Tarehe 07/07/2014 Katika Mgahawa Wa Vama Uliopo Maeneo Ya Viwanja Vya Gymkana Jijini Arusha.

Taarifa Hiyo Ilizungumzia Pia Tukio La Kukamatwa...

 

5 years ago

Michuzi

MATUKIO YA UHALIFU NCHINI YAPUNGUA KWA ASILIMIA 3.2 MAKOSA YA BARABARANI NAYO YAPUNGUA

Charles James, Globu ya Jamii

IDADI ya matukio ya uhalifu nchini imepungua katika kipindi cha mwezi Januari na Februari mwaka huu ukilinganisha na kipindi kama hicho kwa mwaka 2019 .

Takwimu zinaonesha ndani ya kipindi cha mwaka huu matukio ya uhalifu 9,263 yaliripotiwa ukilinganisha na matukio 9,572 yaliyoripotiwa katika kipindi kama hicho cha mwaka jana hivyo kuwa na upungufu wa matukio 309 sawa na asilimia 3.2.

Akitoa taarifa hiyo mbele ya wandishi wa habari jijini Dodoma leo, Mkurugenzi wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Masaibu ya VolksWagen yaongezeka

Korea Kusini imetoa ilani ya kufanya uchunguzi upya magari yanayotengenezwa na VolksWagen kufuatia ufichuzi huo huko Marekani.

 

10 years ago

BBCSwahili

WHO:Ebola yaongezeka Guinea na S Leone

Shirika la afya duniani WHO limeelezea wasiwasi wake kwamba visa vipya vya maambukizi ya maradhi hatari ya Ebola vimeongezeka huko Guinea na Sierra Leone

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Maambukizi yaongezeka S Leone

Shirika moja la hisani limeonya kuwa kuna kiwango cha visa vitano vya maambukizi ya ugonjwa wa Ebola kila saa nchini Sierra Leone

 

11 years ago

Tanzania Daima

Prolife: Kasi ya kansa yaongezeka

SHIRIKA la Kutetea Uhai wa Binadamu nchini (Prolife) limesema kasi ya magonjwa ya kansa ya shingo ya kizazi na ya matiti inaongezeka kutokana na matumizi ya dawa za vidhibiti mimba....

 

10 years ago

BBCSwahili

Kasi ya kujiunga na ugaidi yaongezeka

wapiganaji wa kigeni elfu ishirini na watano wa mataifa mia moja walisafiri kwa malengo ya kujiunga na makundi ya al-Qaeda na Is

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani