MATUKIO MBALIMBALI YA UHALIFU MKOA WA PWANI
NA MWAMVUA MWINYI, PWANI
JESHI la Polisi mkoani Pwani, kwa kushirikiana na Idara ya Uhamiaji wamefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu 51, raia wa Ethiopia waliokuwa wameingia nchini kupitia bandari bubu ya Makurunge katika wilaya ya Bagamoyo.
Idadi hiyo inafikia wahamiaji haramu 100 baada ya wengine 49 kukamatwa juzi Kidomole, Fukayose.
Kamanda wa polisi mkoani hapa,Wankyo Nyigesa alieleza, raia hao wamekabidhiwa kwa vyombo vya dola kwa taratibu za kisheria .
"Raia hawa wa Ethiopia wamekamatwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziJESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LAWASHIKILIA WATU AROBAINI NA TANO KWA MAKOSA MBALIMBALI YA UHALIFU
Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma linashikilia arobaini na tano kwa makosa mbalimbali ya uhalifu katika msako wa wahalifu uliofanyika tarehe kati ya tarehe 27/02/2014 hadi 01/03/2014.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi David A. Misime - SACP amesema tarehe 27/02/2014 walikamatwa jumla a watuhumiwa 42 kwa makosa...
10 years ago
Dewji Blog22 Feb
Matukio mbalimbali ya Waziri Mkuu Pinda katika ziara yake mkoa wa Iringa
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Chief wa Wahehe , Adam Abdu Sapi Mkwawa wakati alipokwenda nyumbani kwa Chief huyo, Kalenga Iringa Februari 20, 2015 kuhani msiba wa baba yake Chief huyo, Marehemu Abdu Adam Sapi Mkwawa uliotokea hivi karibuni. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akishiriki katika dua mbele ya kaburi la marehemu Abdu Adam Sapi Mkwawa wakati alipokwenda nyumbani kwa Chief huyo, Kalenga Iringa kuhani Februari 20, 2015.
Waziri Mkuu,...
11 years ago
Tanzania Daima23 Dec
Matukio ya uhalifu yaongezeka
MKURUGENZI wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Kamishna Isaya Mungulu, amesema matukio ya uhalifu yaliyoripotiwa mwaka huu ni 66,906. Mungulu alisema hayo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar...
9 years ago
MichuziMAGUFULI AMALIZA KAMPENI ZAKE MKOA WA LINDI,AANZA MKOA WA PWANI KWA KISHINDO
5 years ago
MichuziPolisi Arusha wapongezwa kupunguza matukio ya uhalifu
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amelipongeza Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kwa kufanikiwa kupunguza na kudhibiti matukio ya uhalifu hali ambayo imepelekea shughuli za kiuchumi kufanyika kwa amani hasa utalii.
Alitoa pongezi hizo wakati akifungua kikao kazi kilichohusisha Maafisa wa Polisi pamoja na Polisi Kata 157 toka kata zote za Mkoa wa Arusha ambacho kilikua na lengo la kukumbushana wajibu wa Polisi Kabla, wakati na baada ya uchaguzi.
Amesema...
11 years ago
Habarileo27 Dec
Pwani yakumbwa na matukio 301 ya ubakaji
ZIKIWA zimebaki siku tano kuingia mwaka 2014, Mkoa wa Pwani umeripotiwa kukumbwa na makosa 301 ya ubakaji.
11 years ago
Dewji Blog01 Aug
Taarifa ya Polisi Arusha ya matukio ya uhalifu na majina ya watuhumiwa wanaopandishwa kizimbani
Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, SACP, Liberatus Sabas.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI JESHI LA POLISI TANZANIA
Ndugu Wanahabari, Mtakumbuka Kuwa Wiki Moja Iliyopita Jeshi La Polisi Lilitoa Taarifa Kwa Umma Juu Ya Watuhumiwa Sita Waliokamatwa Na Kufikishwa Mahakamani Kuhusiana Na Tukio La Mlipuko Wa Bomu Uliotokea Tarehe 07/07/2014 Katika Mgahawa Wa Vama Uliopo Maeneo Ya Viwanja Vya Gymkana Jijini Arusha.
Taarifa Hiyo Ilizungumzia Pia Tukio La Kukamatwa...
9 years ago
GPLMATUKIO MBALIMBALI YA MSIBA WA FILIKUNJOMBE
11 years ago
GPLMATUKIO MBALIMBALI JIJINI DAR