MATUKIO MBALIMBALI YA MSIBA WA FILIKUNJOMBE
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/1.Mke-wa-Marehemu-Deogratius-Filikunjombe-Sarah-Filikunjombe-katikati-akifarijiwa..jpg?width=650)
Mke wa marehemu Deogratius Filikunjombe, Sarah Filikunjombe (katikati) akifarijiwa. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayemaliza muda wake, Anne Makinda, akimfariji mke wa marehemu. Anne Makinda…
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zNsEY*-CrKkh4fhpb2L-jRFRsfzly2aTMk6SgfyA2YyE7oLn1ioKbodLUpRdE2ITwu4vzZ-pkKeaksX82U-jwLQR-wH7laT/msiba.jpg?width=650)
MSIBA WA FILIKUNJOMBE, WENGI WAZIMIA LUDEWA
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/Deo-Filikunjombe1.jpg)
TASWIRA ZA MSIBA NYUMBANI KWA FILIKUNJOMBE, MBAGALA KIJICHI-DAR
11 years ago
GPLMATUKIO MBALIMBALI JIJINI DAR
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-lvuYjgTq5ck/VYCBex2LZII/AAAAAAAHgGo/5BjCtqNb6_M/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
MATUKIO MBALIMBLI KATIKA MSIBA WA MUFTI MKUU WA TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-lvuYjgTq5ck/VYCBex2LZII/AAAAAAAHgGo/5BjCtqNb6_M/s640/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-C4aser1dVJc/VYCDCIaNNiI/AAAAAAAHgIA/MADBsuLttxI/s640/unnamed%2B%252810%2529.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-bARtdSjg88I/XnVMeHFqVVI/AAAAAAALklM/yAuB_sdRWQkFrg6T3UYtWyoXxwXHiU-vwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200320-WA0055.jpg)
MATUKIO MBALIMBALI YA UHALIFU MKOA WA PWANI
![](https://1.bp.blogspot.com/-bARtdSjg88I/XnVMeHFqVVI/AAAAAAALklM/yAuB_sdRWQkFrg6T3UYtWyoXxwXHiU-vwCLcBGAsYHQ/s320/IMG-20200320-WA0055.jpg)
JESHI la Polisi mkoani Pwani, kwa kushirikiana na Idara ya Uhamiaji wamefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu 51, raia wa Ethiopia waliokuwa wameingia nchini kupitia bandari bubu ya Makurunge katika wilaya ya Bagamoyo.
Idadi hiyo inafikia wahamiaji haramu 100 baada ya wengine 49 kukamatwa juzi Kidomole, Fukayose.
Kamanda wa polisi mkoani hapa,Wankyo Nyigesa alieleza, raia hao wamekabidhiwa kwa vyombo vya dola kwa taratibu za kisheria .
"Raia hawa wa Ethiopia wamekamatwa...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/HRRHmSttR9o/default.jpg)
HABARI MBALIMBALI PAMOJA NA MATUKIO YANAYOENDELEA BUNGENI
Uongozi wa mabigwa wa soka nchini Yanga umethibitisha kumsajili kihalali mchezaji Geofrey Mwashuya kutokaKimondo FC ya mbeya. https://youtu.be/cYGXZTeWWOw
Watuhumiwa wanne mkoani mbeya wamehukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kufanya mauaji ya Mlemavu wa ngozi http://youtu.be/_hXJgsMGqiI
SIMUtv: Chile imefanikiwa kutinga fainali za Copa Amerika baada ya kuifunga Peru bao 2-1 katika mechi ya nusu fainali mjini Santiago. http://youtu.be/URSePAX6_ho
BUNGE.
TBC
SIMUtv: ...
11 years ago
Dewji Blog25 Jun
Matukio mbalimbali kutoka Bungeni mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na madiwani kutoka jimbo la Mkuranga kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 24, 2014. Madiwani hao walikwenda Bungeni kwa mwaliko wa Mbunge wao, Adam Malima ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema, Bungeni mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mtwara Mjini Hasnan Murji,bungeni mjini Dodoma Juni 25, 2014. (Picha...
10 years ago
VijimamboMatukio Msiba wa Mama Dotto, Kulwa na Nico Mwaibale Jijini Dar