Masaibu ya VolksWagen yaongezeka
Korea Kusini imetoa ilani ya kufanya uchunguzi upya magari yanayotengenezwa na VolksWagen kufuatia ufichuzi huo huko Marekani.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili02 Oct
Masaibu ya Diego Costa yaongezeka
Kocha wa Uhispania Vicente del Bosque amemuacha nje mshambuliaji wa timu hiyo Diego Costa kwa mechi mbili za kufuzu kwa michuano ya mabingwa Ulaya mwaka ujao.
10 years ago
BBCSwahili27 Aug
Masaibu ya wakimbizi wa Darfur
Wakimbizi wanaoishi katika kambi moja huko Darfur wanaelezea masaibu yao miaka 5 tangu watimuliwe makwao.
10 years ago
BBCSwahili05 Dec
Volkswagen kuikabili Mercedes F1
Kampuni ya Volkswagen ya pili kwa utengenezaji magari duniani,yajipanga kuingia Formula one kuikabili Mercedes
10 years ago
BBCSwahili30 Mar
Filamu inayoangazia masaibu ya albino
Filamu moja inayoangazia mauaji ya Albino Tanzania imezinduliwa London wiki hii
10 years ago
BBCSwahili07 May
Masaibu ya wakimbizi Sudan Kusini
Licha ya Mkataba wa amani Sudan Kusini maelfu wanaendelea kuumia. Mwandishi wetu Emmanuel Igunza ametembelea kambi moja ya wakimbizi
9 years ago
BBCSwahili21 Sep
Magari ya Volkswagen yachafua mazingira
Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya magari ya Volkswagen ameomba msamaha baada ya wasanifu nchini Marekani kusema baadhi ya magari yake yamekuwa yakichafua mazingira.
9 years ago
BBCSwahili26 Sep
Volkswagen zapigwa marufuku Uswizi
Taifa la Uswizi limepiga marufuku kuuzwa kwa magari aina ya Volkswagen ambayo yana mitambo ya iliyotengenezwa kudanganya majaribio ya gesi chafu.
9 years ago
BBCSwahili07 Oct
Volkswagen kurekebisha magari yake
Kampuni ya magari ya Volkswagen imesema magari yaken yaliayoathirika na sakata ya gesi chafu yatafanyiwa marekebisho.
10 years ago
BBCSwahili02 Jul
Roboti yamuua mfanyikazi wa Volkswagen
Mfanyikazi mmoja katika kiwanda cha kutengeza magari aina ya Volkswagen nchini Ujerumani amefariki baada ya roboti kum'beba na kumuangusha katika chuma
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania