Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matumizi ya GMO: Afrika ikubali au ikatae?

Kilimo ndiyo sekta muhimu katika jamii nyingi za Kiafrika na nchi zingine zinazoendelea. Sekta hii inachangia takriban asilimia 35 ya pato la bara zima la Afrika, huku ikiajiri zaidi ya asilimia 70 ya Waafrika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Waomba mahakama ikatae ushahidi kesi ya bosi Tanesco

UPANDE wa Utetezi katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando umeiomba mahakama isipokee nakala ya ripoti ya kamati ya tathmini ya zabuni ya Santa Clara Supplies kama sehemu ya ushahidi wa upande wa jamhuri.

 

9 years ago

StarTV

Matumizi Ya Kiswahili ZINDUKA yataka kitumike kwenye mijadala Afrika Mashariki

 

Jumuiko la makundi mbalimbali ya kijamii kutoka nchi za Afrika Mashariki kupitia umoja wao unaojulikana kama “ZINDUKA”,limekuja na mapendekezo ya kutaka matumizi rasmi ya lugha ya Kiswahili, katika mijadala na mikutano yote ya jumuiya ya Afrika mashariki.

Katika uwasilishwaji wa mapendekezo kutoka katika kusanyiko hilo la “ZINDUKA” lililokuwa likifanyika Jijini Arusha, ni kwamba Kiswahili hakijapewa uzito unaostahili ndani ya Afrika Mashariki.

Mmoja wa wasilishaji wa mapendekezo hayo...

 

9 years ago

Michuzi

Benki ya Afrika(BOA Bank) yapigia chapuo matumizi bora ya mikopo

Na Mwandishi wetu, BagamoyoWATANZANIA wametakiwa kujenga tabia ya kukopa na kurejesha kwa wakati mikopo katika taasisi za fedha kwani huo ni msingi muhimu wa kujipatia maendeleo kwa mtu binafsi na katika ngazi ya taasisi pia.
Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya Afrika, Bw. Mussa Mwachaga amesema mwishoni mwa juma wakati akikabidhi msaada wa Tsh. milioni 10 kwa shule ya Sekondari ya Baobab kuwa uaminifu katika kurejesha mikopo huleta maendeleo ya haraka kwa watu binafsi na taasisi mbalimbali.
“Hili...

 

9 years ago

StarTV

Mawaziri wa Afya Afrika Mashariki wajadili viwango vya matumizi ya dawa yanayokubalika

 

Wadau wa uzalishaji dawa kwenye ukanda wa Afrika Mashariki wanakutana jijini Dar es Salaam kwa mara ya kwanza kujadili muongozo wa utumiaji wa dawa unaozingatia viwango vinavyokubalika kimataifa ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya mkutano wa kisekta uliokutanisha mawaziri wa masuala ya afya wa ukanda huo.

Ajenda kuu, ni namna nchi zote tano za Afrika Mashariki zinavyoweza kuwa na matumizi sawa na viwango vinavyofanana vya dawa pamoja na kuhamasisha uwekezaji zaidi kwenye uzalishaji wa...

 

11 years ago

TheCitizen

I am not a GMO ambassador: minister

A deputy minister yesterday distanced himself from advocacy for the introduction of genetically engineered foods in the country.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ghana yajikita katika mimea ya GMO

Je vyakula vilivyokuzwa kisayansi vinaweza kutoa suluhu kwa tatizo la uhaba wa chakula? Ghana imeimarisha utafiti wa GMO

 

10 years ago

TheCitizen

Govt says ready to move into GMO for its benefits

This was revealed by the deputy minister for Agriculture, Food Security and Cooperatives, Mr Godfrey Zambi at a recent meeting in Dar es Salaam

 

11 years ago

Mwananchi

Namna GMO itakavyosaidia wavutaji kuachana na sigara

Wataalamu wa afya wanasema sigara haina manufaa yoyote kwa binadamu zaidi ya kumwathiri kiafya

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal afungua Kongamano la tano la Kimataifa la kujadili matumizi ya Nishati itokanayo na joto ardhi katika Nchi za Afrika

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Tano la Kimataifa la kujadili matumizi ya Nishati itokanayo na joto ardhi katika Nchi za Afrika zinazopitiwa na bonde la ufa. Kongamano hilo limeanza jana Oktoba 29, 2014 katika Ukumbi wa AICC Jijini Arusha. (Picha na OMR). 3 Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masele, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais, Dkt Bilal, kufungua kongamano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani