Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matumizi ya picha ya Rais yasitishwa

SERIKALI imesitisha matumizi ya picha ya Rais wa Awamu ya Tano, John Magufuli katika ofisi za umma na wananchi kwa ujumla.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

SERIKALI YASITISHA MATUMIZI YA PICHA RASMI YA RAIS MAGUFULI


Serikali inapenda kuzitaarifu ofisi za umma na wananchi kwa ujumla kwamba imesitisha matumizi ya picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Serikali ya Awamu ya Tano, Mhe.Dkt. John Pombe Joseph Magufuli mpaka hapo itakapotangazwa tena.   Awali majira ya saa 6: 00 mchana jana Novemba 6, mwaka huu Serikali ilitangaza kuhusu kuanza… ...

 

9 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Serikali yasitisha matumizi ya Picha Rasmi ya Rais Magufuli

Serikali inapenda kuzitaarifu ofisi za umma  na  wananchi  kwa ujumla  kwamba  imesitisha    matumizi  ya  picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  wa Serikali ya Awamu ya Tano, Mhe.Dkt. John  Pombe Josep Magufuli mpaka hapo itakapotangazwa tena.


Awali   majira ya saa 6: 00 mchana leo Novemba 6, mwaka huu Serikali ilitangaza kuhusu kuanza rasmi kwa matumizi ya picha ya Rais.



Aidha,   Serikali  imesema kwamba  itazitangazia  ofisi hizo na umma wa Watanzania  kuhusu kuanza tena  kwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yasitisha matumizi ya picha ya Rais wa awamu ya 5 Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli mpaka hapo itakapotangazwa tena

assah

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene.

Serikali inapenda kuzitaarifu ofisi za umma  na  wananchi  kwa ujumla  kwamba  imesitisha    matumizi  ya  picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  wa Serikali ya Awamu ya Tano, Mhe.Dkt. John  Pombe Magufuli mpaka hapo itakapotangazwa tena.

Awali   majira ya saa 6: 00  jana mchana Novemba 6, mwaka huu Serikali ilitangaza kuhusu kuanza rasmi kwa matumizi ya picha ya Rais.

Aidha,   Serikali  imesema kwamba  itazitangazia  ofisi...

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yasitisha matumizi picha ya Dk Magufuli

Serikali imesitisha matumizi ya picha ya Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Pombe Magufuli ambayo yalitakuwa kuanza leo kwa ofisi zake.

 

9 years ago

Vijimambo

PICHA: JUST PICHA: MWANA DIASPORA NA MBIO ZA UBUNGE: WANAMWITA RAIS WA MBARALI

Ni Liberatus Mwang'ombe "Libe" aliye wahi kuishi Maryland, DC na Virginia (DMV) amekuwa akivunja rekodi kwenye historia za mbio za ubunge jimbo la Mbarali kwa kukusanya vijana na watu wa rika mbalimbali wengi kuliko ilivyo wahi tokea jimboni Mbarali. 


 Juu na chini: Libe katika ubora wake

 Juu na chini: George Tito aka Mbu Mwenyekiti BAVICHA mkoa wa Mbeya akimnadi Mh. Mwang'ombe




 Mh. Mwang'ombe akikabidhi kadi ya CHADEMA barabarani 
Mh. Mwang'ombe amekuwa akisimamishwa barabarani watu wakitaka...

 

9 years ago

Mwananchi

Bomoabomoa yasitishwa

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Hifadhi ya Mazingira (Nemc), imesitisha ubomoaji wa nyumba zilizojengwa katika Bonde la Mto Msimbazi ili kuwapa nafasi wakazi kuhama na kuokoa mali zao.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi Jamii yasitishwa Kariakoo

>Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imesimamisha shughuli zinazofanywa na Polisi Jamii baada ya kubainika kuwapo kwa vitendo vya wizi katika maeneo ya Kariakoo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Matokeo ya uchaguzi yasitishwa Zambia

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini Zambia, Bi Irene Mambilima jana alisitisha zoezi la kutoa matokeo ya uchaguzi mkuu .

 

9 years ago

Habarileo

Operesheni kuondoa wafugaji yasitishwa

MAWAZIRI wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi na wa Maliasili na Utalii, wameonya askari wa Wanyamapori wanaojihusisha na utesaji, unyanyasaji na kujipatia fedha haramu kwa kukamata mifugo au wakulima, waache mara moja badala yake, wazingatie maadili ya kazi yao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani