Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matunda ya Tanzania kuuzwa nje ya nchi

Na. Johary Kachwamba-MAELEZO, DODOMA
SERIKALI imeweza kushawishi mashirika ya kimataifa ya ndege kuongeza idadi ya safari pamoja na kiwango cha mzigo kinachosafirishwa kutoka Tanzania kwenda nje ya nchi, ikiwemo bidhaa za matunda.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Janet Mbene alibainisha hayo bungeni mjini Dodoma wakati akijibu swali la Mhe. Muhammad Sanya, Mbunge wa Mji Mkongwe aliyehoji mpango wa Serikali katika kutafuta soko la matunda nje ya nchi.
Mhe. Mbene alisema TanTrade kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MABALOZI WA TANZANIA NJE YA NCHI WATEMBELEA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


Pichani ni Mabalozi wa Tanzania Nje ya Nchi Waliotembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wa kwanza kushoto ni Balozi wa Tanzania Ubeligiji, Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala.

 

11 years ago

Michuzi

WANAMUZIKI WA TANZANIA WANAOWAKILISHA NJE YA NCHI …

Kuna wanamuziki wa Tanzania wengi walio nje ya nchi lakini wengi huwa hatupati nafasi ya kuzijua na kuzisikia kazi zao wakiwa ughaibuni.
Leo tuwatambue wakongwe na nguli wa muziki wa dansi  nchini wakiwa mabalozi wetu nchini Japan wakiwa na kundi linaloitwa Tanzanite BandHawa ni Fresh Jumbe (mwimbaji, katikati), Abbu Omar (Solo Guitar, kulia) na Lister Elia (key board, kushoto).
Fresh Jumbe amepitia bendi kubwa sana nchini kama Dar International (Super Bomboka), JUWATA Jazz (Msondo Ngoma), DDC...

 

10 years ago

Michuzi

JE UMECHUKUA MKOPO NA NYUMBA YAKO INATAKA KUUZWA, HAIRUHUSIWI KUUZWA MPAKA UTARATIBU HUU.

Wakopwaji/wadaiwa  wamekuwa  wakipata shida sana  kutoka  kwa wanaokopesha. Mkopesha awe ni mtu binafsi, taasisi ya fedha , kampuni  binafsi au mwingine  yeyote  wamekuwa  wakiwasumbua sana  wadeni  wao. Kubwa  zaidi hasa taasisi za fedha hutumia masharti ya mikataba ambayo  huwa yameandaliwa kitaalam kiasi cha  mtu ambaye  si mwanasheria  kutoelewa kwa undani maana  yake  kuwabana wadeni  ambao  hushtukia  masharti hayo baada  ya  kuwa wameshaanza  kudaiwa. Mbaya  zaidi  wamekuwa  wakifanya...

 

10 years ago

Vijimambo

SWAHILI BLUES BAND YA ANZA KUJIPATIA UMAARUFU NJE YA NCHI YA TANZANIA

 Swahili Blues Band ya Tanzania ikiwa katika uwanja wa kimataifa wa Mwl JK Nyerere tayari kuanza safari ya kuelekea mjini Addis Ababa.
 Bendi ikikaribishwa rasmi na mwenyeji wao Dr Mulatu katika klabu ya African Jazz VillageLeo Mkanyia akihojiwa na moja ya redio ya Addis Ababa akiwa na Dr Mulatu
Leo Mkanyia and Swahili Blues Band iko mjini Addis Ababa Ethiopia kwa mwaliko maalumu toka kwa gwiji la muziki barani Afrika na ulimwenguni kote Dr Mulatu Astakte. 
Swahili Blues Band ilifika mjini...

 

5 years ago

Michuzi

MBOGAMBOGA NA MATUNDA KUPATA SOKO KATIKA NCHI ZA ULAYA

Makampuni kumi na tano (15) yaliojumuisha wazalishaji pamoja na wasafirishaji wa bidhaa za Mbogamboga na Matunda wajiongezea fursa katika soko la Ulaya kufuatia Ushiriki wao katika Maonesho ya Kimataifa ya Mbogamboga na Matunda yajulikanayo kama Fruit Logistica 2020 yaliyofanyika tarehe 5 hadi 7 Februari, 2020  mjini Berlin nchini Ujerumani.  

Mazao yaliyovutia wanunuzi  na wadau wengine katika maonyesho hayo ni pamoja na parachichi, rasiberi, pasheni, ndimu zisizo na mbegu, njegere, snow...

 

10 years ago

Mwananchi

Siasa imevunja umoja, ikateua wachache kula matunda ya nchi

Hii ni hoja yangu ya siku nyingi. Kila nikifikiria ni jinsi gani tunaweza kujenga jamii bora yenye mshikamano, wazo la hekalu linakuja akilini mwangu. Wale wanaosoma makala zangu, wanajua jinsi ninavyozungumzia jambo hili na kusisitiza umuhimu wake. Ninashindwa kupata neno zuri.  Labda wengine wanachanganya hekalu na nyumba za ibada tulizozizoea. Sina maana ya kanisa wala msikiti.  Nina maana ya ‘kitu’ cha kuwaunganisha Watanzania wote.

 

10 years ago

Mwananchi

Siasa ievunja umoja,ikateua wachache kula matunda ya nchi

Kila nikifikiria ni jinsi gani tunaweza kujenga jamii bora yenye mshikamano, wazo la hekalu linakuja akilini mwangu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Walio nje ya nchi waonyeshe kwa vitendo watasaidia vipi nchi

TUMESHAZOEA maneno ya wanasiasa wanapopiga kampeni za kutafuta kuchaguliwa na wananchi. Wengi wao wanakuja na ahadi kemkem kama njia ya kutaka kuwavutia watu kuwa wao ndio wanafaa katika nafasi hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani