Mauaji yazua mjadala wa ubaguzi US
Utumizi wa neno uhalifu wa chuki ili kuelezea mauaji ya watu tisa katika kanisa moja la watu weusi mjini Carolina Kusini nchini Marekani umezua mjadala kuhusu ni nini haswa kinachosababisha mtu kutekeleza ugaidi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili07 Jan
Sera ya uhamiaji yazua mjadala UK
10 years ago
Bongo Movies11 Dec
Picha Ya Lulu Na Idriss Yazua Mjadala
Ikiwa ni takribani siku Nne sasa tangu mtanzania, Idris Sultan kuibuka mshind kwenye shindao la Big Brother Africa (BBA ) hotshots 2014, na kunyakua kiasi cha zaidi ya milioni 500. Kama ilivyokuwa kwa watanzania wengi kumuunga mkono kuanzia kwenye kumuombea kura hadi kumpongeza aliposhinda, hali ilikuwa tofauti pale mwanadada Elizabeth Michael aka Lulu ambe ni muigizaji maarufu wa filamu, alipompongeza kwakuwepa picha akiwa na mshiriki huyo na kumpongeza kwa kuandika “He did...
10 years ago
Mwananchi13 Feb
MARIDHIANO: Serikali ya Mseto Zanzibar yazua mjadala
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Ndoa ya Nicki Minaj, Meek Mill yazua mjadala mitandaoni
New York, Marekani
IKIWA zimepita siku chache baada ya rappa machachari kutoka Marekani Meek Mill amvalishe pete ya dhahabu mpenzi wake Nick Minaj kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa hivi karibuni wapendanao hao wameibua ‘headline’ kwenye Mtandao wa Kijamii wa Twitter baada ya Nick kuwauliza maswali mashabiki wake juu ya mahali pa kufanyia harusi hiyo akilenga ufukweni au kanisani.
Baada ya Nick, 33, kupost maswali hayo ndani ya muda mchache zaidi ya mashabiki wake 20,000 walitoa maoni...
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Kura ya siri yazua mjadala mkali #Bunge la #Katiba [VIDEO]
10 years ago
BBCSwahili11 Feb
Mauaji ya wanafunzi waislamu yazua hisia
11 years ago
BBCSwahili02 Jun
Mauaji ya wahubiri yazua taharuki Mandera
9 years ago
BBCSwahili03 Jan
Mauaji ya mhubiri yazua joto Saudi Arabia