Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mauaji mengine yawakuta wakenya

Watu watano wameuawa katika shambulizi lengine katika eneo la Witu karibu na Mpeketoni pwani ya Kenya.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mauaji mengine Kenya, 20 wauawa Wajir

Kuna taarifa kuwa watu ishirini wameuawa katika shambulio kwenye kijiji Mashariki Kaskazini mwa Kenya siku ya jumapili.

 

10 years ago

Michuzi

GABRIEL FUIME AFUTIWA KESI YA MAUAJI NA KUWA MAUAJI BILA KUKUSUDIA

 Aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime akifikishwa mahakamani wakati wa hatua za awali za kesi hiyo. ------------------------Na Mwene Said wa Globu ya Jamii MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imefuta  mwenendo wa kesi ya mauaji iliyofunguliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini dhidi aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime na wenzake 11, wanaohusishwa na kuporomoka kwa jingo la ghorofa 16 katika mtaa wa Indira Gandh na kuua watu 27...

 

5 years ago

Michuzi

MSHUKIWA WA MAUAJI YA BINTI WA KAZI KIZIMBANI KWA KESI YA MAUAJI NA MADAWA YA KULEVYA

Mtuhumiwa wa mauaji wa binti wa kazi Salome Zakaria,Mkami Shirima Akiwa amejifunika gubi gubi la mtandio wa dera akitoka kusikiliza kutajwa kwa kesi hiyo leo jijini Arusha.Mtuhumiwa wa mauaji wa binti wa kazi Salome Zakaria,Mkami Shirima Akiwa amejifunika gubi gubi la mtandio wa dera akitoka kusikiliza kutajwa kwa kesi hiyo. Pichani ni mtuhumiwa wa kesi ya mauaji ya binti wa kazi akiingizwa kwa hakimu mkazi mfawidhi Analia Mushi kutajwa kwa kesi yake huku akijifunika uso gubigubi kama...

 

5 years ago

CCM Blog

MAUAJI YA MMAREKANI MWEUSI: WAKILI AYAITA MAUAJI YALIYOPANGWA


Waandamanaji wakipiga magoti kusali katika viwanja vya Lafayette karibu na Ikulu ya Marekani mjini Washington DCHaki miliki ya pichaAFPImage captionWaandamanaji wakipiga magoti kusali katika viwanja vya Lafayette karibu na Ikulu ya Marekani mjini Washington DCWakili wa familia ya George Floyd, ambaye kifo chake kiliibua maandamano ya hasira kote nchini Marekani , amemshutumu afisa wa polisi kwa "kupanga mauaji".Polisi wa Minneapolis Derek Chauvin ameshitakiwa kwa mauaji , lakini wakili Benjamin Crump amekiambia kituo cha habari cha CBS news kuwa yalikuwa ni mauaji ya kiwango cha kwanza."Tunadhani...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mapinduzi mengine yaandaliwa Burundi

Mmoja wa viongozi katika mapinduzi yaliyozimwa nchini Burundi hivi karibuni ya kumpindua Rais Piere Nkurunziza ameiambia BBC kuwa waasi wao wamekuwa wakiwapa mafunzo polisi na askari kwa ajili ya jaribio jingine la kumwondoa rais Pierre Nkurunziza.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Bunge limeyasahau makundi mengine’

MKUFUNZI wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia cha Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Dorothy Mbilinyi, amesema Bunge limekuwa na malumbano ya serikali tatu, mbili na muungano wakati kuna makundi muhimu...

 

11 years ago

BBCSwahili

Njaa na masaibu mengine Turkana

Kaunti ya Turkana kaskazini mwa Kenya inakabiliwa na ukame mbaya zaidi kuwahi kushuhudiwa katika miaka ya karibuni.

 

5 years ago

Michuzi

Mabilioni mengine yaokolewa na TAKUKURU

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa  Nchini (TAKUKURU) imeokoa zaidi ya shilingi bilioni nne, baada ya kukamilika kwa awamu ya pili ya uchunguzi wa fedha ambazo ni  mali ya vyama vya ushirika ambazo hazijulikani zilipo.

Akitoa taarifa hiyo jijini Dar es salaam, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbungo amesema kuwa,  kuokolewa kwa fedha hizo kunafikisha shilingi bilioni 8.5 zilizookolewa tangu taasisi hiyo ipewe jukumu la kuchunguza shilingi bilioni 124 mali ya...

 

10 years ago

GPL

MASTAA, MNAYOIGA MENGINE NI YA KIJINGA!

ULIMWENGU wa kisasa haukuweza kuiweka kando Tanzania, hasa baada ya teknolojia kufika na kutumiwa ipasavyo na jamii yetu. Hii imefanya kuzaliwa kwa ule msemo kuwa dunia imekuwa kijiji, kwa maana kwamba sasa unaweza kujua au kuona kila kitu kilichopo duniani kupitia simu yako iliyo kiganjani. Simu hizi, hasa kwa vijana, zimewasogeza karibu zaidi na wenzao duniani kote, kiasi kwamba siyo jambo la ajabu mtu akiwa Kariakoo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani