Mauaji ya Freddie Gray,maafisa mbaroni
Jopo la majaji wa mahakama ya Baltimore limewafungulia mashitaka maafisa sita wa polisi kufuatia kifo cha Freddie Gray.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-vjs-PFxKOFA/VT8sP7LvGWI/AAAAAAABMx8/OQiLz1t9_HQ/s72-c/1.jpg)
KUFUATIA KIFO CHA MMAREKANI MWEUSI FREDDIE GRAY, WAANDAMANI WAPAMBANA NA POLISI MJINI BALTMORE
![](http://3.bp.blogspot.com/-vjs-PFxKOFA/VT8sP7LvGWI/AAAAAAABMx8/OQiLz1t9_HQ/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-GJA6cjD3r68/VT8z62BFj3I/AAAAAAABMzY/jU7ULGDSQF0/s1600/3.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-9sx4lLO9IMg/VT8sOxCjGAI/AAAAAAABMx0/HzsLAkWqWnI/s1600/4.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-P7yCw_YJJmY/VT8saCetG1I/AAAAAAABMy0/UZuH_BZBHz4/s1600/19.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-goZgNE3-ErA/VT8sV8EhzsI/AAAAAAABMyM/Rr_ZCr-JtoA/s1600/12.jpg)
11 years ago
Mwananchi17 Dec
Saba mbaroni mauaji ya Mabina
10 years ago
Habarileo05 Feb
Watatu mbaroni kwa tuhuma za mauaji
POLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu watatu akiwemo mwanamke ambao wote ni wakazi wa Kijiji cha Mkindo wilayani Mvomero mkoani hapa kwa tuhuma za mauaji ya Huruma Naloloi (32) mkazi wa Mikocheni, Kata ya Dakawa kwa kutumia bunduki na kumpora pikipiki yake.
9 years ago
Mwananchi22 Dec
Askari sita mbaroni kwa mauaji
10 years ago
Habarileo02 Jan
Askari wa Wanyamapori mbaroni kwa mauaji
ASKARI wanne wa Wanyamapori wameshikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Simiyu kwa madai ya kufanya mauaji kwa kumpiga risasi mchungaji wa ng’ombe aliyeingia katika eneo la hifadhi ya wanyama ndani ya eneo tengefu la Maswa wilayani Meatu.
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Saba Tabora mbaroni mauaji ya polisi
JESHI la Polisi mkoani Tabora, linawashikilia watu saba kwa tuhuma za kumuua askari polisi wawili mwishoni mwa Aprili katika eneo la Ussoke, wilayani Urambo wakati wa tukio la ujambazi. Kamanda...
10 years ago
Mwananchi17 Nov
Watu 13 mbaroni kwa mauaji ya Kiteto
10 years ago
Mtanzania02 Mar
Kigogo mbaroni kwa mauaji ya albino
NA PETER FABIAN, MWANZA
KIONGOZI wa chama kimoja cha siasa mkoani Mwanza (jina tunalo) anashikiliwa na Jeshi la Polisi akihusishwa na uhalifu wa utengenezaji wa noti bandia, utekaji na mauaji ya albino katika maeneo mbalimbali ya Kanda ya Ziwa.
Habari za uhakika zilizolifikia MTANZANIA kutoka vyanzo vyetu vya habari zimesema kuwa kigogo huyo alikamatwa wilayani Magu Februari 26, mwaka huu saa 7:00 usiku.
Kigogo huyo ambaye anadaiwa kuhusishwa na utekaji wa mauaji ya albino alikamatwa baada...
11 years ago
Habarileo06 Mar
Mchungaji Anglikana mbaroni tuhuma za mauaji
MCHUNGAJI mstaafu wa Kanisa la Anglikana, Usharika wa Mfarasi kata ya Madilu wilayani Ludewa, mkoani Njombe, Petro Chambachamba (87) anashikiliwa Polisi akihusishwa kwenye kesi ya mauaji. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Njombe, Fulgence Ngonyani, amesema jana kuwa Chambachamba pamoja na watu wengine wanane, wamekamatwa wakihusishwa na mauaji yaliyotokea Februari 25, mwaka huu saa 8 mchana katika kijiji cha Mfarasi.