Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAUMIVU YA KIUNO NA NYONGA

Tatizo hili huweza kumpata mtu yeyote. Maumivu ya kiuno huanza chini ya mgongo na kukamata katika vifupa vilivyo kwa chini karibu na makalio. Maumivu haya husambaa kulia na kushoto na wakati mwingine huteremka hadi mapajani. Pamoja na kuwepo katika vifupa hivyo pia ndani zaidi huweza kusababisha maumivu haya yatoke kwa ndani na kusambaa nje yaani katika eneo la kiuno. Maumivu ya nyonga huweza kutokea sambamba na maumivu ya kiuno...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Bongo Movies

Monalisa kuwabwaga kina Lupita Nyong’o?

Baada ya muigizaji wa filamu nchini Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ kutajwa kuwania tuzo za The African Prestigious Awards kama Muigizaji bora Afrika huku akitarajiwa kushindana na mastaa wakubwa Afrika amesema hata asipopata tuzo tayari anaamini ni hatua

Monalisa amezungumza hayo wakati akikabidhiwa bendera ya Taifa na Waziri wa Habari, Michezo, Sanaa na Utamaduni, Mh. Harrison Mwakyembe ambapo amesema kuwa ingawa anaamini atarudi nchini na tuzo hizo lakini hata akizikosa ni moja ya ushindi...

 

9 years ago

Global Publishers

Flora, Riyama wafunikana kukata nyonga ukumbini

MAHARIYAFLORAMVUNGI11.jpgFlora Mvungi.

Na Musa Mateja

STAA wa filamu Bongo, Flora Mvungi na shostito wake, Riyama Ally juzikati walijikuta wakigeuka kivutio ukumbini baada ya kufunikana kwa kuzikata nyonga bila aibu kwenye hafla ya kumpongeza mtoto wa Flora, Tanzanite Hamis kuchaguliwa kuwa balozi wa duka la kuuza nguo.

Riyama3.jpgTukio hilo lilitokea hivi karibuni Hoteli ya City Style Sinza-Mugabe jijini Dar es Salaam, ambapo wawili hao walivamia katikati ya ukumbi na kuanza kushindana kuzungusha nyonga hadi kufikia hatua ya...

 

9 years ago

Bongo Movies

Flora, Riyama Wafunikana Kukata Nyonga Ukumbini

RIYAMA76

STAA wa filamu Bongo, Flora Mvungi na shostito wake, Riyama Ally juzikati walijikuta wakigeuka kivutio ukumbini baada ya kufunikana kwa kuzikata nyonga bila aibu kwenye hafla ya kumpongeza mtoto wa Flora, Tanzanite Hamis kuchaguliwa kuwa balozi wa duka la kuuza nguo.
Tukio hilo lilitokea hivi karibuni Hoteli ya City Style Sinza-Mugabe jijini Dar es Salaam, ambapo wawili hao walivamia katikati ya ukumbi na kuanza kushindana kuzungusha nyonga hadi kufikia hatua ya kuacha kucheza wakiwa...

 

11 years ago

GPL

JACQUELINE WILLSON ALUMA AVUNJWA NYONGA, AILALAMIKIA MAHAKAMA

Stori: makongoro oging’
AMA kweli hujafa hujaumbika.
Msichana Jacqueline Willson Aluma ambaye alikuwa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Dira V, iliyopo jijini Dar es Salaam alizaliwa akiwa mzima na wala hakuwa na tatizo lolote kimwili. Jacqueline Willson Aluma akiwa na maumivu makali baada ya kuvunjwa nyonga. Lakini pasipo kujua lengo na sababu zao, watu wamekuwa wakimfuatilia binti huyo mdogo mwenye umri wa miaka...

 

11 years ago

GPL

SHAMSA FORD AONGOZA KUKATA NYONGA MACHOZI BENDI

Staa wa bongo Muvi, Shamsa Ford. Kama kawa ni Ijumaa nyingine ambayo mapaparazi wetu, Musa Mateja ‘Toz’, Issa Mnally ‘Mzee wa GX 100, zamani Mzee wa Mapikipiki’, Dustan Shekidele ‘Mzee wa Mji Kasoro Bahari’, Shakoor Jongo ‘Zungu Fedha,’ Haruni Sanchawa ‘Cheusi’ na Mpigapicha Mkuu, Richard Bukos walijiachia viwanja mbalimbali kusaka matukio na kumrushia live...

 

11 years ago

GPL

FAHAMU UGONJWA WA MAGOTI NA KIUNO (OSTEOARTHRITIS)

Ugonjwa wa maumivu katika magoti au kiuno kitaalamu huitwa Osteoarthritis.
Ugonjwa huu huwapata watu wengi hasa wenye unene wa kupita kiasi au wazee. Osteoarthritis ina maana magonjwa ya viungo vya mwili kiujumla, lakini hasa hushambulia magoti na kiuno.Ni ugonjwa wa muda mrefu na kusababisha uharibifu wa minofu migumu myeupe katika magoti, au kitaalamu huitwa cartilage articular. Ugonjwa huu umekuwa wa kawaida kwa watu wengi,...

 

10 years ago

GPL

SHILOLE: BILA KIUNO NISINGEFIKA ULAYA!

MSANII wa muziki wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kwamba shavu la shoo alilopata la Bara la Ulaya limetokana na kukata kwake kiuno hivyo mashabiki kuvutiwa naye. Msanii wa muziki wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa na AT, Uingereza. Akizungumza kwa njia ya simu na gazeti hili akiwa barani humo anakoendelea kufanya shoo, Shilole alisema juhudi zake binafsi ndizo zilizompa...

 

10 years ago

Mwananchi

Ray C wa kiuno bila mfupa abadilika

Mwanamuziki wa siku nyingi, Ray C ametangaza kuwa atatoka mwezi huu, lakini akiwajulisha mashabiki wake kuwa safari hii ataweka nguvu zaidi kwenye uimbaji badala ya unenguaji, ambao ulimpa umaarufu.

 

10 years ago

Mwananchi

Twachezesha … kiuno … akili … mchakato … kila kitu

We Makengeza, Wewe na wehu na wahuni na wahaini wenzako.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani