Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mavoko: Nimeamua kuja na mtindo wa kuimba utakaokuwa wangu peke yangu

Rich Mavoko amesema anaendelea kutengeneza mtindo wa kuimba utakaomfanya asifanane na msanii yeyote.

Ameiambia Bongo5 kuwa mtindo huo aliuanzisha kama majaribio kwenye Kokoro na baada ya kuona watu wameuelewa, ameuboresha zaidi kwenye wimbo mpya aliofanya na Harmonize, Show Me.

“Nilikuwa natamani nipate style ambayo haifanywi na watu wengine Bongo, kama nilivyofanya kwenye Kokoro na kwenye verse ya Show Me,” Mavoko ameiambia Bongo5. “Soko pia linahitaji ubunifu, hata ninachokifanya ni...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

10 years ago

Bongo5

Wasanii wa kuimba hatushirikishani kwasababu kila mmoja anamtegea mwenzie amuanze — Rich Mavoko

Msanii wa bongo fleva Rich Mavoko amesema kuwa wasanii wengi wa Bongo fleva huwa hawashirikishani katika kazi zao kutokana na kila msanii kumtegea msanii mwingine ndiyo amuanze kumfata na kumuomba wafanye kazi. “Kuhusu swala la kufanya nyimbo mi nafikiri kila mtu anategemea mwenzake atamuanza, atampigia simu ooh bwana nataka kufanya nyimbo na wewe lakini kila […]

 

10 years ago

Vijimambo

PROF.TIBAIJUKA"NANYANYASIKA PEKE YANGU BILA MSAADA WA WANAWAKE

Prof. Anna Tibaijuka amekuwa akinyanyasika peke yake bila kusaidiwa kutetewa na wanawake wenzake. Ametolea mfano wa sakata la ESCROW ambalo anadai kuwa ameonewa tu!Chanzo: Wapo Radio fm

 

10 years ago

Bongo5

Video: Rwandan singer Butera Knowless releases visuals for her Swahili love song ‘Peke Yangu’

Rwanda’s songbird, Butera Knowless, born Butera jeanne d’Arc, has released visuals for her latest single ‘Peke Yangu. ‘Peke Yangu’ is a love song in Swahili, although it’s not her first single to use Swahili language. Her previous single ‘Tulia’ was also in Swahili. She started releasing Swahili songs after realizing that Swahili is widely used […]

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani