Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mawakala, kulinda kura na kukimbia midahalo ni kielelezo kamili cha ujinga wetu kisiasa

DEMOKRASIA ni dhana pana ambayo hutafsiriwa tofauti katika mazingira tofauti.

Mwandishi Wetu

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Lowassa: Huu ni wakati wetu wa kukimbia

NA MWANDISHI WETU, TABORA

WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amesema ni muhimu kwa Tanzania kukimbia kwa kasi ili kukabiliana na changamoto za maendeleo ya kisanyansi duniani.

Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli (CCM), aliyasema hayo jana alipokuwa akihutubia katika sherehe za Jubilee ya miaka 25 ya uaskofu na miaka 40 ya upadri ya Askofu Paul Ruzoka wa Jimbo Kuu Katoliki la Tabora.

Kwa mujibu wa Lowassa, elimu ya Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi na kwamba njia sahihi ya...

 

10 years ago

Michuzi

Mahojiano na kipindi cha Makutano Show kuhusu kura ya uhuru wa Uskochina somo kwa Muungano wetu

Mahojiano na dadangu Fina Mango katika kipindi chake cha Makutano Show kinachorushwa na kituo cha redio cha Magic FM, Dar es Salaam. Masahihisho: Katika mhojiano hayo nimeeleza kwa makosa kuwa Great Britain inaundwa na England yenye mji mkuu London, Wales yenye mji mkuu Cardiff, na GLASGOW yenye mji mkuu Edinburgh. Niliitaja Galsgow kimakosa badala ya Scotland. Kadhalika, katika mahojiano hayo kuna sehemu nimesema kimakosa kwamba moja ya ugumu ulioikabili kambi ya NO ni jinsi ya kuitetea...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Matukio ya hovyo ni kielelezo cha ulegevu katika taifa

SINA hakika katika  nchi nyingine mambo yanakuwa vipi. Ila kwa Tanzania ni kawaida likitokea tukio kubwa watu huzizima kwa siku mbili-tatu halafu baada ya hapo mambo yanapita inakuwa kama vile...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mbowe Amjibu Rais Kikwete Kuhusu Idadi ya Wapiga Kura na Zuio la Wananchi Kulinda Kura Vituoni

Mwenyekiti wa Chadema, Mh Freeman Thursday, October 15, 2015 Mwenyekiti wa Chadema, mh Freeman Mbowe amemtaka Rais Kikwete kutovuruga amani ya nchi na badala yake amemtaka aondoke madarakani na kuiacha nchi ikiwa salama. Mbowe alitoa kauli […]

The post Mbowe Amjibu Rais Kikwete Kuhusu Idadi ya Wapiga Kura na Zuio la Wananchi Kulinda Kura Vituoni appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kifimbo cha malkia na ujinga wa utandawazi

IPO dhana ya kwamba kutawaliwa kulichangia maendeleo ya Bara la Afrika, ikiwemo  nchi yetu ya Tanzania. Vilevile wapo wanaodhani kwamba mawazo ya kupenda kutawala, yaani sehemu moja kuinyang’anya sehemu nyingine...

 

11 years ago

Mwananchi

Ujinga wa zama zilizopita, si lazima uwe ujinga wa zama hizi

“Kila taifa lina ujinga wake,” haya ni maneno yaliyotolewa na Profesa Palamagamba Kabudi alipokuwa akitoa mada kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hivi karibuni.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Ukawa waapa kulinda kura

katibu mkuu wa Chadema, John Mnyika BEATRICE SHAYO 4th October 2015 Kaimu katibu mkuu wa Chadema, John Mnyika akizungumza na waandishi wa bahari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu Tume ya Taifa ya […]

The post Ukawa waapa kulinda kura appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mwananchi

Mahakama: Ni kosa kulinda kura

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imehitimisha mvutano wa sakata la kukaa mita 200 kulinda kwa kutamka kuwa utaratibu huo hauruhusiwi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani