Mawakala pembejeo wadaiwa kugoma
Mawakala wa kusambaza pembejeo za ruzuku Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya, inadaiwa wamegoma kufanya kazi hiyo na kusababisha wakulima kuchelewa kuanza muda wa kupanda mbegu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo08 Aug
Mawakala wa Forodha nchini watishia kugoma
CHAMA cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) kimetishia kugoma baada ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuzitaka kampuni hizo kuwa na Sh milioni 100 kama inataka kupata leseni ya uwakala.
11 years ago
Mwananchi30 Apr
Pembejeo zawatesa wakulima
10 years ago
Tanzania Daima09 Oct
Wakulima kukopeshwa pembejeo
SERIKALI imeanzisha utaratibu wa kuvikopesha pembejeo za ruzuku vikundi vya wakulima kupitia vyama vyao vya ushirika kuanzia msimu ujao wa kilimo 2014/2015. Hatua hiyo, imechukuliwa ili kukabiliana na vitendo vya...
11 years ago
Mwananchi25 Jun
Wachakachuaji pembejeo kubanwa
11 years ago
Tanzania Daima25 Jun
Dawa ya wezi wa pembejeo yaja
HATIMAYE dawa ya kukomesha mawakala wabadhirifu wa pembejeo za kilimo nchini imekamilika kwa kutungwa sheria ya pembejeo nchini. Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Usambazaji wa Pembejeo za Kilimo kutoka Wizara...
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Wakulima wa pamba walilia pembejeo
10 years ago
Habarileo24 May
Vocha za pembejeo zaondolewa benki
SERIKALI imerudisha mfumo wa vocha za pembejeo ya ruzuku za kilimo kwa baadhi ya mazao kwa wakulima kuanzia mwaka 2015/16, ili kuwawezesha wakulima wengi kupata zana hizo, kutokana na mfumo wa awali wa kutoa ruzuku hizo kupitia benki, kushindwa kuwafikia wakulima wote.
10 years ago
Mtanzania08 Jun
Pembejeo zakwamisha wakulima wa korosho
Na Florence Sanawa, Mtwara
HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mtwara, imetoa siku 10 kwa mfuko wa wakfu wa kuendeleza zao la korosho kuhakikisha kuwa pembejeo zinawafikia wakulima ili waweze kuwahi kupulizia dawa hizo msimu huu.
Akizungumza na waandishi wa habari Katibu wa CCM Mkoa wa Mtwara, Shaibu Akwilombe, alisema usambazaji wa pembejeo hizo umemtia mashaka kutokana na wilaya tatu za Masasi, Mtwara Halmashauri na Tandahimba kukosa pembejeo hizo kwa wakati...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Chawaphata watishia kugoma
CHAMA cha Wamiliki wa Famasi nchini (Chawaphata), kimetishia kufanya mgomo wa kufunga maduka yao kama njia mojawapo ya kushinikiza kufanyiwa kazi kwa matatizo yanayowakabili kwa muda mrefu. Mwenyekiti wa Chawaphata,...