Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mawaziri mtegoni

MAWAZIRI wapya walioteuliwa na Rais John Magufuli wameshauriwa kutekeleza majukumu yao mapya kwa kuguswa na matatizo ya Watanzania kama anavyoguswa Rais na sio wafanye kazi zao kwa nidhamu ya woga.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Wabunge mtegoni

RAIS John Magufuli ametakiwa kufuta posho zote zisizokuwa za lazima kwa wabunge huku watunga sheria hao wakitakiwa kueleza waziwazi msimamo wao kuhusu kukataa posho hizo ili fedha zitakazookolewa zitumike kwa kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi katika majimbo yao.

 

10 years ago

Vijimambo

Tume ya Uchaguzi mtegoni

Balozi Ombeni Sefue.
Wakati Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) ikitarajiwa kuzungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo, inakabiliwa na mtihani mgumu juu ya muda wa kufanyika kwa kura ya maoni ya kupitisha au kukataa Katiba pendekezwa iliyokabidhiwa kwa Rais Jakaya Kikwete Oktoba 8, mwaka huu.

Ingawa kwa nyakati tofauti Nec imekuwa na msimamo kwamba kura ya maoni haitafanyika kabla ya kuboreshwa kwa daftari la wapiga kura, kauli ya Rais Kikwete aliyoitoa juzi akiwa nchini China kwamba...

 

11 years ago

Mwananchi

... Samuel Sitta awekwa mtegoni

>Suala la ama kutumia kura ya siri au ya wazi kuamua ibara za Rasimu ya Katiba jana liliuteka upya mjadala wa Kanuni za Bunge la Katiba, huku ikielezwa kuwa limewekwa kama mtego kwa Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta katika kuwania urais.

 

10 years ago

Mwananchi

TFF yaiweka Yanga mtegoni

Yanga ipo kwenye hatari  ya kuondolewa  kwenye Ligi Kuu iwapo uongozi  wake utashindwa kuwasilisha muhtasari wa kikao cha  mabadiliko ya katiba ya klabu hiyo ndani ya siku saba.

 

10 years ago

Mwananchi

Azam mtegoni, Simba yanukia CAF

Simba inapewa nafasi kubwa ya kumaliza nafasi ya pili msimu huu kutokana na Azam kuwa mtegoni iwapo itashindwa kupiga hesabu nzuri dhidi ya Yanga na Mgambo JKT katika mechi zake zinazofuata.

 

10 years ago

Raia Mwema

Njama za CCM kuitia CUF mtegoni

WENYEWE watakataa, lakini sidhani kama ilikuwa ni jambo la busara kwa mawaziri wa Chama cha Wanan

Ahmed Rajab

 

11 years ago

Habarileo

Ajira vigogo viwanja vya ndege mtegoni

Mchoro unaoonesha namna jengo jipya la abiria la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam, litakavyoonekana baada ya ujenzi wake kumalizika. Rais Jakaya Kikwete jana aliweka jiwe la msingi la ujenzi huo. (Na Mpigapicha Wetu).UCHOCHORO wa dawa za kulevya katika viwanja vya ndege nchini, umegeuka shubiri ambapo sasa nafasi za vigogo wa Bodi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) zimegeuka za moto.

 

10 years ago

Vijimambo

BVR zaiweka Nec mtegoni. Yaandikiwa barua isitishe uandikishaji kuepusha vurugu.

Mwenyekiti wa Nec, Jaji Damian Lubuva.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imetakiwa kumshauri Rais Jakaya Kikwete, kusitisha upigaji kura ya maoni ya Katiba inayopendekezwa Aprili 30, mwaka huu, kwa maelezo kuwa kulazimisha suala hilo kutasababisha mpasuko na hatimaye kuzua vurugu na kuvunja amani ya nchi.

Pia imetakiwa kutokubali kuingiliwa katika utendaji wake wa kazi ikiwamo kulazimishwa kuendesha mchakato wa kura ya maoni katika tarehe hiyo.

Matamko hayo yalitolewa kwa nyakati tofauti na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani