BVR zaiweka Nec mtegoni. Yaandikiwa barua isitishe uandikishaji kuepusha vurugu.
Mwenyekiti wa Nec, Jaji Damian Lubuva.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imetakiwa kumshauri Rais Jakaya Kikwete, kusitisha upigaji kura ya maoni ya Katiba inayopendekezwa Aprili 30, mwaka huu, kwa maelezo kuwa kulazimisha suala hilo kutasababisha mpasuko na hatimaye kuzua vurugu na kuvunja amani ya nchi.
Pia imetakiwa kutokubali kuingiliwa katika utendaji wake wa kazi ikiwamo kulazimishwa kuendesha mchakato wa kura ya maoni katika tarehe hiyo.
Matamko hayo yalitolewa kwa nyakati tofauti na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi26 Jun
NEC itathmini uandikishaji wa BVR
10 years ago
Mwananchi04 Aug
Uandikishaji BVR umemalizika, NEC sasa ijipange upya
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f*E8U3rGFXqXoRy0q2hN*kgf83cKPO*RsiSmijcTXGNLS*HzWLrcUYtMEMx4Tlu4FnBJuOrqobab13tGDKXWwa7Y6WtSku2d/KURA.png?width=650)
NEC: UANDIKISHAJI BVR DAR KUANZA JULAI 16-25, PWANI JULAI 7-20
9 years ago
Mwananchi19 Oct
Washauri mambo matano kuepusha vurugu
10 years ago
Raia Tanzania13 Aug
Maelekezo ya NEC yafuatwe kuepusha shari
WAKATI Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu ukizidi kukaribia, kumeanza kutolewa kauli za kibabe kuhusu namna hasa ya kutangazwa kwa matokeo ya kura zitakazokuwa zikipigwa katika mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar.
Majuzi, mmoja kati ya viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mabere Marando, alikaririwa na vyombo vya habari akisema kwa nafasi aliyopewa, yeye atakuwa akitangaza matokeo ya uchaguzi kadri atakavyokuwa...
10 years ago
Mwananchi09 Jun
Uandikishaji BVR Dar majanga
10 years ago
Mwananchi19 Dec
BVR ‘zachemsha’ uandikishaji Dar
10 years ago
Mwananchi25 Mar
Hesabu za uandikishaji BVR zinagoma
10 years ago
Habarileo12 Aug
UN wasifia uandikishaji wa BVR Zanzibar
OFISA Mwandamizi kutoka Umoja wa Mataifa (UN) anayeshughulikia Kitengo cha Uchaguzi Mkuu, Hamida Kibwana amesema uandikishaji katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo wa BVR, umefanyika vizuri huku vyama vyote vikionesha kuridhishwa nao.