Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mawaziri wa escrow hawatuhusu-Hoseah

Wakati wananchi wakisubiri vigogo wa serikalini na mawaziri wanaotuhumiwa kuhusika kwenye kashfa ya uchotaji fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow kufikishwa mbele ya vyombo vya umma, ni watumishi watano tu wa umma waliofikishwa mahakamani, lakini Mkurugenzi wa Takukuru, Dk Edward Hoseah ana jibu la suala hilo; kazi yao ni kufikisha mahakamani ‘vidagaa’.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Hoseah: Tumemaliza kazi yetu escrow

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, Dk Edward Hoseah amesema taasisi yake imeshafanya kazi ya kuchunguza uchotaji wa fedha katika Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

10 years ago

TheCitizen

Hoseah submits escrow account probe dossier

>The Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) has submitted to Prime Minister Mizengo Pinda its investigation report about the multibillion-shilling Tegeta escrow account, it was confirmed yesterday.

 

10 years ago

Mwananchi

Escrow yapangua mawaziri 13

Hatimaye Rais Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko 13 kwenye Baraza la Mawaziri yaliyohusisha mawaziri nane, manaibu watano, wakiwamo wapya wawili, ikiwa ni siku mbili kabla ya kuanza kwa Bunge, na ndani ya saa 48 kama gazeti hili lilivyoripoti Ijumaa iliyopita.

 

11 years ago

Mwananchi

Kafulila awalipua mawaziri akaunti ya Escrow

>Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila jana aliibua tuhuma nzito bungeni akiwahusisha mawaziri wawili na Sh200 bilioni zilichotwa katika Akaunti ya Escrow, iliyokuwa inamilikiwa kwa pamoja kati ya Tanesco na Kampuni ya kufua umeme ya IPTL.

 

10 years ago

TheCitizen

Hoseah: No one would be spared

>Not a single public servant who pocketed a share of the escrow billions from VIP Engineering and Marketing’s James Rugemalira will be spared, the head of the anti-corruption watchdog told The Citizen yesterday.

 

10 years ago

Mwananchi

Ripoti ya Hoseah yavuruga Bunge

Sakata la uchotaji wa Dola za Marekani 200 milioni katika akaunti ya Tegeta Escrow limeendelea kuibuka kwa sura mbalimbali bungeni.

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli amng’oa Hoseah Takukuru

hose>> Aponzwa na ufisadi wa TRA, Bandari

>> Zuio safari za nje laanza kung’ata

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

RAIS Dk. John Magufuli, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk. Edward Hoseah kwa kile alichodai mwenendo wa utendaji kazi wake hauendani na kasi yake anayoitaka.

Dk. Hoseah anakuwa kigogo wa 79 kutoka taasisi nne za umma ambao tayari wameonja machungu ya Serikali ya awamu ya tano na kaulimbiu yake ya ‘hapa kazi tu’.

Taarifa...

 

9 years ago

Habarileo

Hoseah ang’olewa Takukuru

RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Dk Edward Hoseah. Aidha, ameamuru kusimamishwa kazi kwa watumishi waandamizi wanne wa taasisi hiyo kwa kukiuka maagizo yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani